Ndio maana atakae lisema aweke uthibitisho na sio maneno matupu tu, hilo jambo sihitaji kuliamini , nataka kujua , kuamini unaweza amini uongo tu , duniani kuna iamni zaidi ya milioni 5

sizungumzii Imani hewa, nazungumzia Imani juu Mungu, Muumba mbingu na nchi, YWHW, Aliyeumba vinavyoonekana na visivyoonekana,. Anayekupa hewa unayoivuta saivi