Sifa zangu
Naishi Dar
Muajiriwa Serikalini
Umri 33yrs
Dini mkristo
Partner nimtakae
*Aishi dar/awe tayari kuhamia dar
*Ujishughulishe kwa chochote
*Dini Mkristo (Muislam uwe tayri kuwa converted)
*Umri (wowote unao ona unaiweza NDOA)
PM yangu ipo wazi kwa mdada mwanamke alie tayari.
Single Mother sio kasoro,mtoto asizidi mmoja.