Nampenda sana sista angu datz y sikuweza mcrush kwa namna yyte japo iliniumiza na kunikera+aibu ila nilivumilia
Kiukweli nachomshaur ndo anachofanya siku hizi nina nguvu chanya sana juu yake,kana ikitokea baba amshauri jambo na mimi nimshauri langu lazima lipite,imefkia stage mzee analalamika kuwa hamshrikishi mambo yake...kuhusu kuolewa hadi saivi kakataa 3 mens walioweka nia ya kumuoa zote nlimkataza na kumwambia afocus kutafta pësa na kutengeneza kesho ake sabu hadi saiv ana watoto wanne watatu mwanaume wa kwanza na mmoja mwanaume alieachana nae mara ya mwisho...ndo chanzo cha kumshauri asiingie kwenye majukum ya ndoa na aschukulie ndoa ndo solution ya matatizo yake.
Nashukur saivi tushasettle kila kitu na mambo ni bull bull