CONTINUUM HYPOTHESIS
Member
- Jan 31, 2012
- 55
- 6
Hii movie inayoitwa "life of Pi" ni bongeeeee moja la movie...kama bado haujaichek i recommend uiweke kwenye "must see list" yako
Hii movie inayoitwa "life of Pi" ni bongeeeee moja la movie...kama bado haujaichek i recommend uiweke kwenye "must see list" yako
Nitaitazama. Nilichoshangaa ni hii filamu kupewa tuzo ya Oscar kwa Visual Effects na kuiacha niliyodhani ingeshinda, Marvel's The Avengers. Effects za Life of Pi, you may wish to know, zimefanywa na studio ya Rythm and Hues (R&H) ambayo ilikaribia kufilisika mwezi uliopita n aikabidi ipigwe jeki na studio ya PrimeFocus ya India. Kwenye tuzo za Oscar kulifanyika maandamano ya Visual Effects artists juu ya kukumbwa na ukata huku filamu zikiuza kwa mabilioni. Nitatazama Life of Pi.
Mbali na waandaaji kutokuwa Wahindi, washiriki ni Wahindi na imefanya vizuri na kuiongezea heshima India kama ilivyokuwa kwa filamu ya Slumdog Millionaire iliyoshinda tuzo ya Oscar kama Filamu bora.