Life is so stupid: Walahi.

Dogo acha Uongo mbona yule Bimt mwenye jina la Hotel pale Kariakoo na Baba yake ana mabasi ya kijani alishaolewa kitambo, leo ndio unaileta humu, hiyo birika hukuitoa wewe
kweli story nyingine za Instragan
leo mtu unajisifia Ukimwi, kizazi hichi si chetu
Inaonekana una moja, mbili kuhusu hii ishu emu funguka.
Kumbe jamaa ametunywesha chai ya rangi eti?
 
Dogo acha Uongo mbona yule Bimt mwenye jina la Hotel pale Kariakoo na Baba yake ana mabasi ya kijani alishaolewa kitambo, leo ndio unaileta humu, hiyo birika hukuitoa wewe
kweli story nyingine za Instragan
leo mtu unajisifia Ukimwi, kizazi hichi si chetu
We jamaa pumba mzee
 
haya mambo haya, mie kuna kitoto miaka ya nyuma kiligoma kwenda chuo kwa sababu za kipuuzi mama yake kumbe alisha gundua natoka nacho si akanipa kazi ya kuhakikisha mtoto anaenda kusoma. nikakitishia kukiacha kilikubali kurudi chuo (ilikuwa cert.) now kina kazi yake .....hivi vitoto vipuuzi sana
ha ha ha
 
Mimi sijasoma habari yote ila nashauri tu kwanini huyo mwenye nyumba asiyatoe makofuli mpaka wapangaji watakaporudi kuliko kuwafungia waje walale nje!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom