Life is not static

Life is not static

Akurutogo

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
199
Reaction score
103
This is Mike Iron Tyson the world successfully boxer with his Financial advisor that time but now is the president of USA and Tyson is a normal citizen.

IMG-20181217-WA0089.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump alivyo tapeli, si ajabu alikomba hela zote ndio maana bondia kafilisika

Sent using Jamii Forums mobile app

nitaiweka story ya maisha ya Tyson humu kesho,ni mtu nimemfuatilia sana,kwa kifupi ni hivi Tyson amefulia kutokana na life style,jamaa alinunua ma gari zaidi ya 100 mengine anaacha gereji mengine ananunua jipya leo asubuhi jioni ikifika ameligonga kidogo analipeleka garage anaacha huko na mengine washkaji walikua wanaomba kuendesha alafu anasahau yalipo
 
Ni sawa na weather, Weather nae atakuwa broke too soon!
 
Back
Top Bottom