"Utawala haramu"Avigdor Lieberman akiri kwamba Israel imeshindwa na harakati ya HAMAS Ukanda wa Ghaza
Jan 10, 2019 15:52 UTC
Waziri wa zamani wa vita wa utawala haramu wa Israel, Avigdor Lieberman sambamba na kukiri kwamba siasa za Tel Aviv mbele ya HAMAS zimefeli, amesema kuwa harakati hiyo ya Kiislamu imepata mafanikio makubwa kama ambavyo imeendelea kubakia imara.
Lieberman ameyasema hayo katika mahojiano na kanali ya 7 ya televisheni ya utawala huo na kuongeza kwamba Israel ilisalimu amri mbele ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika vita vya hivi karibuni.
Aidha amezungumzia muqawama wa Palestina dhidi ya Israel na kusema kuwa, wanamapambano hao hawaogopi kitu chochote na kwamba Tel Aviv haina siasa za maana za mustakbali wake katika kukabiliana vilivyo na harakati ya HAMAS.
Amekiri kwamba siasa za utawala huo katika eneo la Ukanda wa Ghaza zinaelekea kufeli. Katika mahojiano hayo, waziri huyo wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni amesema, katika vita vya siku mbili kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Tel Aviv ililazimika kutangaza usitishaji vita siku mbili tu baada ya harakati hiyo kuvurumisha zaidi ya makombora na maroketi 500 upande wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni. "Uvurumishaji wa makombora na maroketi zaidi ya 500 kutoka Ghaza dhidi ya vitongoji vya Israel, ni kufeli kukubwa kwa baraza la mawaziri la Netanyahu." Amesema Avigdor Lieberman.
My take:Hamas wame-advance oneni makombora yao tofauti na mwanzo[emoji116] View attachment 991544
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiiba cha mtu hata mtoto anatosha kukupiga mkwara chief,hujawahi ona watoto wa kipalestina wanawafulusha Askari wa kiyahudi Kwa mawe na wao wameshika vya motoHamas bado wako mbali mno kiuwezo kupambana na Israel sana sana wapalestina wasio na hatia ndio huteseka.
sawasawa luten jeneralDawa ya kuvifuta hivi vikundi vya kigaidi mashariki ya kati hadi Yemen, Lebanon, Palestine, Syria ni kuipiga na kuimaliza Iran.. Iran is the source of all evils..!! Soon atashika adabu yake..!!
Dawa ya kuvifuta hivi vikundi vya kigaidi mashariki ya kati hadi Yemen, Lebanon, Palestine, Syria ni kuipiga na kuimaliza Iran.. Iran is the source of all evils..!! Soon atashika adabu yake..!!
hebu isome tena na tena hii postHivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAA AISEEE MI NAPITA TU JAMANI SIO KWA MAKAVU HAYAHivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nyie mnawapenda?Tangu lini hamas,hezbullah n.k wakawa magaidi! Si hao hao makafiri/marekani/israel ndio magaidi. Nyie watu wa ajabu sana. Mnachukia uislamu na munawachuia waarabu kiujumla. Na hii imeshaandikwa katika kitabu kitukufu/Qur'an kuwa "Wayahudi na Wakristo hawatakuwa radhi nanyi mpaka mtakapofuata dini yao" ndiyo haya tunajionea kwenu mkuu!
Mkuu majina yasikutishe allah maana yake ni MUNGU. kuwa makini na kutafuta sifa za kijingaHivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli. Ni mafundisho yasiyo sahihi kabisa. Mi mkristu na nilifanya utafiti huo. Ni kuchafuliana tu. Allah ni kiarabu. maana yake ni MUNGU. labda kama baadhi ya waislam wanatumia vibaya hilo neno.allah wa waislamu Ni kibao tu ila nyuma ya pazia ni shetani na majini
Sent using Jamii Forums mobile app
labda alidhan ni sifa lkn ukiiangalia hiyo post vzr unaona kabisa makosa yakeCjui ki2 gani kinampa kibri kiac kwamba anamkejeli na kumkashifu Mwenyezi Mungu na Mtume wake! Anackitisha sana.