licencing officer

licencing officer

zachuli

Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8
Reaction score
1
Heshima kwenu wadau, nimeitwa written interview ya licencing officer position BRELA naomba msaada wa possible questions, natanguliza shukrani kubwa
 
Una mda gani upo mtaani toka umalize chuo?
 
Mkuu ielewe hiyo post uliyoiomba kwa undani, soma mambo yahusuyo brela na wizara ya viwanda na biashara, soma uhusiano wa brela na taasisi zingine kibiashara, soma current issues za kibiashara, alafu relax Muombe Mungu kama wakati ni wako itakua
ASANTE SANA
 
Back
Top Bottom