Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,369
- 100,417
Duh kwahio "Wapigwe Tu" WA Libya ndio hatunae tena????
Waziri Mkuu wa Libya ametekwa na watu wenye silaha huko Tripoli. Hatari sana
==============
..
Wamerekani na Wafaransa waende wakamuokoe.
Ameachiwa baada ya kundi lingine la wana mgambo kuingilia kati.
Source click:Libyan PM freed after stunning abduction