Libya Mourn Former Life Under Colonel Gaddafi

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Libya's ex-leader Colonel Muammar Gaddafi is missed by residents in the capital Tripoli.
Five years after Gaddafi was lynched by a mob with the help of of NATO air-strike, the people of Libya have grown weary of life in the war torn country.

Ousting Gaddafi has resulted in chaos and perpetual bloodshed rather than freedom and prosperity.
The choice between another military dictatorship or Islamic extremists fighting militia for control does not sit well with a people who once enjoyed the better life under former revolutionary dictator Colonel Gaddafi.

Constant power cuts,price rises and lack of cash flow have made some people wonder what life was like when Gaddafi was around.

Some others have wondered further back to a time before Gaddafi to find solace from the present day nightmare in Libya.

Tourists in nearby Tunisia are also wondering about the time when Gaddafi rule and before Hillary Clinton came along to see his downfall.

"We came, we saw, he died" said the former US. Secretary of State Hillary Clinton after watching Gaddafi's brutal execution.
 
Wakati wa vita vya Libya Colonal Gaddaffy na baadhi ya wafuasi wake walikimbilia mji wa Sirte ndipo Colonal Gaddaffy alioomba safe passage ya kuondoka Libya kwenda nchi ya Niger. Hiraly Clinton wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alikuwa mjini Tripoli Libya yeye na washirika wake wa NATO walikubali ombi la Colonal Gaddaffy, msafara wa Gaddafy ulipoanza kuelekea mpaka Niger huku ukipeperusha bendera nyeupe (ukimaanisha Amani) ndipo ndege za NATO zilianza kushambulia ule msafara kwa kupiga mabomu. Habari za uhakika baada ya kukamatwa Colonal Gaddafy wananchi walianza kumpiga lakini waliomuua Ghadaffy ni majasusi wa kutoka Ufaransa kwa maagizo ya Rais wa Ufaransa kwa wakati huo Nicholas Sarkozy, kulikuwa madai Colonal Ghaddafy alimpa huyu Rais wa zamani wa Ufaransa kitita kikubwa cha pesa (Dola Milioni 67) za kampeni ya Urais wa Ufaransa mwaka 2007 kama Rushwa ili pindi Nichola Sakozy akiingia madarakani aisaidie Libya irudishe mahusiano na nchi za Magharibi ambao kwa wakati huo haukuwa mzuri.. Rais Nicholas Sakozy aliamuru kuuawa kwa Ghaddafy kwani aliogopa kwa sheria ya uchaguzi wa Ufaransa kutumia fedha za rushwa katika uchaguzi ni kosa la jinai kwa ushahidi wa Colonal Ghaddafy ungemweka pabaya rais huyo wa zamani wa Ufaransa.
Mwenyezi Mungu huanza kwa kulipa hapa hapa duniani Sept 11 mwaka 2012 aliyekuwa balozi wa Marekani nchini Libya Balozi J. Christopher Steven na maofisa wenzake watatu waliuawa mjini Benghazi kwa kupigwa na wale wale waliowasaidia kumuangusha Ghaddafy. Balozi Christopher Steven ndio alikuwa ndio msimamizi mkuu wa kusimamia kuondolewa kwa Ghaddaffy madarakani.
Rest in peace our beloved Brother Colonal Ghaddafy.
 
Hillary Clinton haka kabibi sikapendi jamani.
Hata Obama nae amechangia kwa kiasi kikubwa kwa kinachoendelea Libya.
Mungu atawalipa siku moja
 
Yap mkuu. Ni kweli tupu, Sarkozy anatajwa kuhusika na specifically UFARANSA. hao ndiyo hasa waliomuua Gadafi. Jamaa ni wanafiki sana. Sehem zote walizoingia hao waitwao Coalition Forces, hakuna amani hadi leo. Mifano iko mingi lakini tuchukulie Iraq, Afghanstan, Libya, hata DR Congo kuna mazongezonge japo siyo Directly lakini hawa jamaa wana maslahi yao. Maeneo ya namna hiyo kutulia ni vigumu sana. Ingawa ni ukweli kuwa maeneo hayo imekua ni rahisi hao waitwao Coaltion Forces(NATO) kuingia kutokana na tawala za kiimla za maeneo tajwa, lakini haindoi ukweli pia kuwa hawa jamaa nao ni tatizo kubwa pia.
 
Back
Top Bottom