Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,125
- 2,859
TANZANIA kwa bla bla tu ya mahakaman tupo vizurMpaka uweze kuongea ndio uokote... maana lazima uwe na mada ya kujibu hapo bro
TANZANIA kwa bla bla tu ya mahakaman tupo vizurMpaka uweze kuongea ndio uokote... maana lazima uwe na mada ya kujibu hapo bro
Ndio maana kavunjika guu kwasababu ya chang'aa anacngizia kapigwa na watu watatu hahahaha kweli bwana utawala huu umejaa ghiriba.Utawala wa Magu umejaa maruweeruwe na ghiriba za kila aina. Akaona njia pekee ya kudhibiti ushindani kwenye kiti Cha uraisi ndani ya CHAMA chake ni kuwatumia wachawi elfu moja kutoka Gamboshi kupiga mkwara kuwa watamroga yoyote atakayechukua fomu
Kando na rushwa labda pia sheria za Tz(Maritime Laws) ni legevu mno na zinawakubalia wageni kusajili meli zao na kufanya shughuli zao bila 'regulations' zozote zile za maana. Kuna nchi zingine ambazo bendera zao huwa zinapeperushwa sana. Km. Liberia, Marshal Islands, Belize na Panama ambayo ina 'open registry', ambapo wenye meli wanaweza wakasajili meli zao mitandaoni bila kutia mguu wao nchini Panama.Hii ilikuwa inatumiwa sana meli zilizo sajiliwa Zanzibar sasa naona limejirudia tena, kuna mpumbafu wa wizara amesha vuta mpunga kuweza sign ya usajili wa hiyo meli, Anko Magu mda siyo mrefu anakula kichwa cha mtu
Kando na rushwa labda pia sheria za Tz(Maritime Laws) ni legevu mno na zinawakubalia wageni kusajili meli zao na kufanya shughuli zao bila 'regulations' zozote zile za maana. Kuna nchi zingine ambazo bendera zao huwa zinapeperushwa sana. Km. Liberia, Marshal Islands, Belize na Panama ambayo ina 'open registry', ambapo wenye meli wanaweza wakasajili meli zao mitandaoni bila kutia mguu wao nchini Panama.
Magufuli asitisha usajili wa meli mpya TanzaniaKando na rushwa labda pia sheria za Tz(Maritime Laws) ni legevu mno na zinawakubalia wageni kusajili meli zao na kufanya shughuli zao bila 'regulations' zozote zile za maana. Kuna nchi zingine ambazo bendera zao huwa zinapeperushwa sana. Km. Liberia, Marshal Islands, Belize na Panama ambayo ina 'open registry', ambapo wenye meli wanaweza wakasajili meli zao mitandaoni bila kutia mguu wao nchini Panama.
Lala ww dogo wa kiambuuuHawa Waturuki si ndio wanajenga SGR ya Tanzania, huu mchezo unahitaji macho yenye uwezo wa kuona mbali.
Yawezekana kabisa, au hata walio madarakani na kwenye vyama wanatafuta hela ya uchaguzi...sisi ni bure tu, wao ndiyo wajuao kila jambo TZ..Hii ilikuwa inatumiwa sana meli zilizo sajiliwa Zanzibar sasa naona limejirudia tena, kuna mpumbafu wa wizara amesha vuta mpunga kuweza sign ya usajili wa hiyo meli, Anko Magu mda siyo mrefu anakula kichwa cha mtu
Mkuu Maritime Law ya Tanzania sio legevu kama tunavyodhani.Kando na rushwa labda pia sheria za Tz(Maritime Laws) ni legevu mno na zinawakubalia wageni kusajili meli zao na kufanya shughuli zao bila 'regulations' zozote zile za maana. Kuna nchi zingine ambazo bendera zao huwa zinapeperushwa sana. Km. Liberia, Marshal Islands, Belize na Panama ambayo ina 'open registry', ambapo wenye meli wanaweza wakasajili meli zao mitandaoni bila kutia mguu wao nchini Panama.
toka ujue neno Propaganda imekuwa kero..Propaganda hizo. Warlord wanataka kuichafua mama tanzania.
Bahati tuliyo nayo Tz sio ya sayari hii, ni Tz pekee mtu anaweza kuokota nyumba na hati yenye jina lake kabisa.
hata picha haipo kwa kweli we mzizi,😅😅😅😅😅😅😅😅Greek media reported that an incident occurred on Wednesday (10 June) off the coast of Libya. A Tanzanian-flagged cargo vessel allegedly carrying weapons for Libya escorted by three Turkish frigates broke the arms embargo of the EU Irini operation
Apparently, there was only one Greek frigate monitoring the arms embargo on behalf of the EU.
When the Tanzanian-flagged vessel was asked to back off, the Turkish frigates said the ship was under the protection of the Turkish state. Considering that there was only one EU frigate, it ultimately backed down. Apparently, the vessel ultimately reached the Libyan coast
The Greek ministry of defense confirmed the incident
ATHENS - Weird incident with Operation Irini
nilijua tu lazima upite hapa.......bahariaMkuu Maritime Law ya Tanzania sio legevu kama tunavyodhani.
Tanzania ina Merchant Shipping Act,2003 ambayo inaongoza Tanzania bara na visiwani pia Zanzibar wana Marine Transport Act, 2006.
Sisi tuna usajili wa meli wa aina 2, Tanzania huku Bars tunasajili Closed Registry ambapo meli inayataka kusajiliwa lazima mmiliki awe mzawa au awe na hisa 50% kama ni kampuni ya kigeni.Huu ni usajili mgumu kwa wamiliki wengi wa kigeni.
Zanzibar wao wanafanya Open Registry ambayo haihitaji vigezo vigumu ni mtu yeyote anaruhusiwa kufanya usajili wa meli, hii ilianzishwa na Uingereza baada ya vita kuu ya pili kuongeza wigo wa kodi.
Meli yoyote inayosajiliwa Zanzibar itapeperusha bendera ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, na meli nyingi hizo zilisajiliwa huko. Hivyo lolote linalotokea ni letu kama Tanzania na kwa kufata Merchant Shipping Act sisi tunaweza kutoa ushauri au kufuta usajili utaofanyika Zanzibar.
Hili swala la nchi kuwa na sajili mbili sio geni kuna nchi kama Uingereza wao wanafanya open register kwa kutumia visiwa vya Cayman, China wanatumia Hong Kong.