Libya: Meli yenye bendera ya Tanzania yakamatwa imesheheni silaha

Zigi Rizla

JF-Expert Member
May 25, 2019
1,064
1,107
Greek media reported that an incident occurred on Wednesday (10 June) off the coast of Libya. A Tanzanian-flagged cargo vessel allegedly carrying weapons for Libya escorted by three Turkish frigates broke the arms embargo of the EU Irini operation

Apparently, there was only one Greek frigate monitoring the arms embargo on behalf of the EU.

When the Tanzanian-flagged vessel was asked to back off, the Turkish frigates said the ship was under the protection of the Turkish state. Considering that there was only one EU frigate, it ultimately backed down. Apparently, the vessel ultimately reached the Libyan coast

The Greek ministry of defense confirmed the incident

ATHENS - Weird incident with Operation Irini
 
Kesheria huwa inaitwa FOC, Flags of Convinience, ambapo wenye meli huwa wanatumia bendera ya nchi ambayo sio yao, ili kujiepusha na sheria za nchi yao, ambazo mara nyingi huwa zinawadhibiti kibiashara na kwenye mienendo yao. Kila meli huwa inapeperusha bendera ambayo inaashiria kwamba meli hiyo imesajiliwa kwenye nchi hiyo na meli huwa zinafata sheria za nchi husika, hata zikiwa mbali na bandari za nchi hiyo. Huu mwanya wa kisheria huwa unatumiwa na mabaharia ambao wanakiuka sheria za nchi zao, iwe kwenye ajira za wafanyikazi wao, mizigo wanayoibeba, sheria kuhusu hali ya meli zao. Kila meli ambayo inabeba mizigo isiyofaa, walanguzi wa madawa na silaha na 'human traffickers' pia huwa wanatumia mbinu hiyo. Ndio maana nchi ya Panama, ambayo ina watu milioni mbili tu ndio ina meli nyingi zaidi duniani ambazo zinapeperusha bendera yao, zaidi hata ya US na China. Flags of Convenience - Advantages, Disadvantages & Impact on Seafarers - Sea News Global Maritime News
 
Greek media reported that an incident occurred on Wednesday (10 June) off the coast of Libya. A Tanzanian-flagged cargo vessel allegedly carrying weapons for Libya escorted by three Turkish frigates broke the arms embargo of the EU Irini operation

Apparently, there was only one Greek frigate monitoring the arms embargo on behalf of the EU.

When the Tanzanian-flagged vessel was asked to back off, the Turkish frigates said the ship was under the protection of the Turkish state. Considering that there was only one EU frigate, it ultimately backed down. Apparently, the vessel ultimately reached the Libyan coast

The Greek ministry of defense confirmed the incident

ATHENS - Weird incident with Operation Irini

Please if you could avail us with the authority for more insight.
 
Hii ilikuwa inatumiwa sana meli zilizo sajiliwa Zanzibar sasa naona limejirudia tena, kuna mpumbafu wa wizara amesha vuta mpunga kuweza sign ya usajili wa hiyo meli, Anko Magu mda siyo mrefu anakula kichwa cha mtu
 
Tumeikota meli
Sio mara ya kwanza kuona 'mkiokota meli'. Hawa watu wanaitumia nchi yenu na bendera yenu kutengeneza mamilioni ya dola. Tena bila kuwalipa chochote au kufaidi uchumi wenu, kwasabubu kusajili meli zao Tz haimaanishi kwamba shughuli zao wanazifanyia Tz. Mbaya zaidi ni kwamba kuna Embargo ya UN na EU pia, yaani marufuku ya kuuza silaha au kusafirisha silaha hadi Libya. Hata nchi za magharibi ambazo zinatengeneza silaha kwa wingi na labda zinaingiza silaha Libya kinyemela hazina hamu kabisa ya kufanya hivyo hadharani. Ndio hawa hawa ambao wanatumia wenye meli hizi kwenye biashara zao haramu ambazo mwishowe zinawatesa bure raia wa Libya. Maanake kule vita vinaendelea bila formular na yeyote mwenye silaha na wafuasi anajiita 'Strongman' na 'Warlord' na anajitosa kwenye vita ambavyo vimeivuruga kabisa na kuiharibu nchi ya Libya. UN Arms embargo on Libya | SIPRI
 
Back
Top Bottom