Hivi hao katika mji wa Benghazi wametokea wapi!!!!!??? na ndio kilikuwa kitovu cha ukombozi!???
hapa ndipo wengi wetu hatupatazami kwa sababu wengi wetu tunasema "MAISHA BORA YAKO WEST" waliojenga maendeleo yale wangefufuka leo!! au waliopigania uhuru wangefufuka leo huh!The cure is worse than the disease.
Sptember 11 attack killed 3000.
War on the so called terrorism killed millions,and is manufacturing more terrorists and create more hate towards west.
au wanaofanana nao! kama sio dada zao watoto wao na baba zao!Hawa wanaoonekana katika hii video wajitayarishe kwa vifo vya drones.
How Could The US Embassy In BENGHAZI Be Attacked When It's Not Even Listed? Explain This!
link How Could The US Embassy In BENGHAZI Be Attacked When It's Not Even Listed? Explain This! | THE JEENYUS CORNER « The Jeenyus Corner
Bengazi ni ubalozi mdogo wa Marekani (consular office). Ni kawaida ya kwamba nchi inaweza kuwa na ofisi ndogo kando la ubalozi katika nchi fulani.
Mbaöozi marehemu alikuwa Benghazi akitembela ofisi ndogo.
Sindiyo, kama nimeelewa vema kutokana na tovuti ya ubalozi mjini Tripoli huyu mbalozi alikwenda Benghazi kwa kufungua rasmi ofisi ndogo.Mwandishi wa makala hapingi mambo ya consular office lakini alipotembelea webpage ya Hillary (US department) hiyo ofisi ya Banghazi haipo kwenye orodha.
... hii iwe fundisho kwa nchi kama yetu kutwa watu wanaichokoa amani iliyopo,
.. mpaka sasa naishi middle east, nchi za UAE na Qatar ndio nchi zinazoongoza kwa kuwa na vijana wengi wanaokwenda kutafuta maisha kutoka africa asia na hata europe, wakati wa gadafi nikikuambia nitafutie mlibya katika nchi hizi hutampata labda business man'kwa sababu kwao walikuwa na goo time,
Leo hii tembelea miji ya dubai,doha utakutana na rundo la vijana wakilibya wanatafuta kazi?
Mpendwa, nakubali kabisa ni vema kutafakari kabla ya kupindua utaratibu kama tunataka kweli yale yanayofuata na tukibomoa utaratibu - je kuna mpango wa baadaye?
Ila tu picha yako ya Paradiso Libia chini ya Gadafi inaoekana ni tofauti na Walibia wengi. Ajabu? Nchi ilijaa watu maskini kutoka nchi za Afrika (waliokuwa na maisha mabaya) ilhali asilimia ya vijana wake wenyewe walijaribu kwenda nje.
Kufuatana na factsheet ya world bank http://siteresources.worldbank.org/INTPROSPECTS/Resources/334934-1199807908806/Libya.pdf kabla ya mapinduzi walikuwa Walibia 110,000 walioondoka nchini mwaka 2010. Hawakuenda UAE bali nchi nyingine zinazotajwa.
Je umeshauliza kama labda wakati wa Gadafi serikali ya UAE haikutaka Walibia kutokana na uhusiano mbaya kati ya Gadafi na Waarabu wengine?
Ilhali sasa mlango umefunguliwa ?
Mpendwa, nakubali kabisa ni vema kutafakari kabla ya kupindua utaratibu kama tunataka kweli yale yanayofuata na tukibomoa utaratibu - je kuna mpango wa baadaye?
Ila tu picha yako ya Paradiso Libia chini ya Gadafi inaoekana ni tofauti na Walibia wengi. Ajabu? ....
Ilhali sasa mlango umefunguliwa ?
Ila tu picha yako ya Paradiso Libia chini ya Gadafi inaoekana ni tofauti na Walibia wengi. Ajabu? Nchi ilijaa watu maskini kutoka nchi za Afrika (waliokuwa na maisha mabaya) ilhali asilimia ya vijana wake wenyewe walijaribu kwenda nje.
Kufuatana na factsheet ya world bank http://siteresources.worldbank.org/INTPROSPECTS/Resources/334934-1199807908806/Libya.pdf kabla ya mapinduzi walikuwa Walibia 110,000 walioondoka nchini mwaka 2010.
Sina takwimu juu ya hilo (na katika hali jinsi walivyo nina wasiwasi ya kwamba wanaweza kupata namba halisi sasa).Sasa leo wangapi wamerudi kufurahia Libya mpya? Una twakimu mpya?
Au wameongezeka kuikimbia nchi?
Link Did Libya