Inasikitisha kuona Nchi "iliyokombolewa" watu wakizidi kufa na amani ikizidi kutokomea!
Na kwa sababu zi-Aljazeera na BBC zilikuwa zikituonesha kwamba hali huko ni SHWARI hali halisi imedhihirika kwa wenye AKILI
safi sana nawaendelee hivyo hivyo maana undava wao umewatokea puani na bado..
pamoja mkuu! pitia hapa pia The History The US Government HOPES You Never Learn!Tembelea hapa kulindamapinduzi
Bofya hapa: Obama Terrorists Topple Regimes Egypt-Libya ATTACKING-Embassies-184391/ don't ask about Tunisia and Sudan.. na bado wako wanaowashabikia wakoloni kana kwamba kuna jambo la maana wanatufanyia.. nyie subirini wasogezesogeze majeshi yao kutuzingira kisha ndipo tutajua wanatulindaje dhidi ya Maharamia na Magaidi.. na hivi tulishatia sahihi kutotengeneza silaha wala matumizi ya silaha kali mmmh! Maskini yetu!!!safi sana nawaendelee hivyo hivyo maana undava wao umewatokea puani na bado..
Hivi hao katika mji wa Benghazi wametokea wapi!!!!!??? na ndio kilikuwa kitovu cha ukombozi!???Libya closed its air space over Benghazi airport temporarily because of heavy anti-aircraft fire by Islamists aiming at U.S. reconnaissance drones flying over the city, days after the U.S. ambassador and three other Americans were killed in an attack.
The closure of the airport prompted speculation .......soma habari yote hapa Libya Attacks: U.S. Drones Fly Over Benghazi