Ni siku zimepita tokea mmiliki wa Liberty Reserve(LR) kufungwa na kupelekea kufungwa kwa service yake
In countries where PayPal is not permeated they Adopted Perfect Money(PM)
Kama kuna mjuzi jinsi yaku refund account ya perfect money au hata web money basi anisaidie?

Tangu zamani natumia PAYZA. Maelezo yao ni straight forward. Tofauti na Paypal hawa jamaa wanaruhusu kupokea fwedha hapa kwetu Bongo directly kwenye account yako. Natumia account ya CRDB na nimeilink na PAYZA. Jaribu ukikwama uliza.
Mkuu nyerere nashukuru lkn transaction nayotaka niwe nafanya inakubali PM tu lkn option ya payza nimeipenda naona nitengeneze payza afu ntatafuta kampuni ya ku transform payza to PM