Mkuu unakosea sana kuihusisha Taasisi yenye hadhi kama liberman Boys ambayo iko chini ya Holy Ghost Fathers na vitendo vya kishoga!Kwa kweli umenihuzunisha kwani inaelekea hujui kuwa watoto wetu tunaowapeleka pale ndo wanakuwa na tabia mbovu ambazo either wanatoka nazo majumbani mwao au shule walizotoka. Mimi ni mmoja wa wazazi ambao naona fahari sana kwa mwanangu kumaliza pale na sijawahi kusikia uchafu huo unaousema.Wakati mwingine unaweza kushtakiwa kwa defamation kwa kuihusisha taasisi kubwa kama ile na vitendo vya mwanafunzi mmoja mmoja.