LHRC ni umama

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
826
Kituo cha sheria na haki za binadamu LHCR Kinapinga vikali matumizi ya neno "umama" katika mitandao ya jamii, sababu neno hilo linamdhalilisha mwanamke na kumfanya aonekane ni kiumbe dhaifu mbele ya jamii.

Watanzania wenzangu, wanaume na wanawake nawauliza hivi hili shirika la LHCR liko sahii kweli, kwa nadharia hii inayolenga kumfanya mwanamme aonekane kama mwanamke, na mwanamke aonekane kama mwanaume?

Wallah! mi nahapa chini ya Mbingu na Dunia kwamba nadharia hii nitaikubali siku wanawake wataenda "Haja ndogo" huku wamesimama...

Nalog off.....
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] izi ni dharau sasa
 
....ukiwaza sana uumbaji wa munguuu huto kaaa upate jibu... MHESHIMU KILA MMOJA nawe utaheshimiwaaaa...ka umewowaaa mwite mkeo ivooo

 
....ukiwaza sana uumbaji wa munguuu huto kaaa upate jibu... MHESHIMU KILA MMOJA nawe utaheshimiwaaaa...ka umewowaaa mwite mkeo ivooo

Kila kiumbe kina nafasi yake inayoendana na maumbile yake aliyopewa, kwa nn haya mashirika yanapinga hilo?
Sasa hivi wanawake wengi wana tamaa ya kusimama kwenye nafasi za wanaume, hilo liko wazi kwenye jamii zetu.
Mfano kwenye ndo, sasa hivi hakuna ndoa salama tena,.
"Mafahari wawili wataishi vipi kwenye zizi moja" hilo haliwezekani.
 
Very stupid! So, unamsubiri mama yako akojoe akiwa kasimama? Anapoongelewa Mwanamke Ni pamoja na Mama yako, Sasa Kama nae humuheshimu una laana!
 
Very stupid! So, unamsubiri mama yako akojoe akiwa kasimama? Anapoongelewa Mwanamke Ni pamoja na Mama yako, Sasa Kama nae humuheshimu una laana!
Kwani mwanamke kwenda haja ndogo huku kachuchumaa ni kosa? Ni ukweli ambao hata wao wenyew hawaupingi. Sas hap laana inakujaje?
 
Natamanigi kutumia bangi ili niweze kujibu watu kama wwe, shida huwa ni illegal, ssa wewe unaona neno 'umama' kutumiwa kama kuonesha weakness ni kitu sahihi? Hivi una akili kweli wewe?
 
Natamanigi kutumia bangi ili niweze kujibu watu kama wwe, shida huwa ni illegal, ssa wewe unaona neno 'umama' kutumiwa kama kuonesha weakness ni kitu sahihi? Hivi una akili kweli wewe?
Wao pia watumie neno ubaba kuonesha mapungufu ya wanaume, Je, litaleta maana sawa kama tafsiri ya umama? Najua jibu unalo, hawawezi kwa nn? Neno BABA (UBABA) lina ukamilifu wake
 
Wao pia watumie neno ubaba kuonesha mapungufu ya wanaume, Je, litaleta maana sawa kama tafsiri ya umama? Najua jibu unalo, hawawezi kwa nn? Neno BABA (UBABA) lina ukamilifu wake
Ok, heri yako
 
Haitatokea nikajipinga mwenyewe na ukwel ukiukwepa ukigeuka utaukuta unakusubil, ninaamini katika uumbaji na ninaamin mwanaume aliumbwa akapewa nguvu na akiri kuliko mwanamke hata siku moja hili siwez kulipinga, mwanamke anaweza kupiga kelele akaongea yake lakin hawez kuwa kama mwanaume..... Wanawake watazitaka haki zao nao wawe kama wanaume ila uumbaji utawanyang'anya na kuzirudisha kwa wanaume na siku wanawake mtakapo kuja kumpa heshima mwanaume na kumuona ni zaid yenu ndipo heshima yenu itaonekana vinginevyo mtatapa tapa sana na kuunda mashirika ya kujitetea yasiyo na kichwa wala mkia
 
Kwani mmekosa neno lingine mpk mtumie umama? Kwanini mtumie weakness zenu kusema ni umama? Washamba sana nyie watu. Bakini na ubaba wenu mtuache na umama wetu.
 
Kwani mmekosa neno lingine mpk mtumie umama? Kwanini mtumie weakness zenu kusema ni umama? Washamba sana nyie watu. Bakini na ubaba wenu mtuache na umama wetu.
Umekoswa uvimilivu huo pia ni umama
 
Mnachanganya mambo ambayo hayapo. Kwani kuna mwanamke kajifananisha na mwanaume? Lete sababu za msingi za kukufanya wewe useme mwanaume kufanya kitu fukani ni umama. Why umama?
 
Mnachanganya mambo ambayo hayapo. Kwani kuna mwanamke kajifananisha na mwanaume? Lete sababu za msingi za kukufanya wewe useme mwanaume kufanya kitu fukani ni umama. Why umama?
Sbabu za msingi ni pamoja na mwanamke kukataa mambo ya kijinga kuwa umama, hiyo inaonesha hataki kuonekana ni dhaif anajiona yye ni sawa na mwanaume, kitu kisichowezekana hata baada ya kizazi hiki.
 
Sbabu za msingi ni pamoja na mwanamke kukataa mambo ya kijinga kuwa umama, hiyo inaonesha hataki kuonekana ni dhaif anajiona yye ni sawa na mwanaume, kitu kisichowezekana hata baada ya kizazi hiki.
Hakuna aliyesema anataka kuwa km mwanaume. Weakness zenu ndo iwe tabia ya umama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…