LG na Samsung Microwave Spare parts

LG na Samsung Microwave Spare parts

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,171
Habari wandugu,
Naomba kujulishwa, kwa mwenye kufahamu maduka yanayouza spare parts za microwave oven zilizotajwa hapo juu. Nilinunua Microwave ya LG miaka kadhaa imepita ikafa Magnetron, nikaiweka pembeni baada ya kukosa spare, nikanunua ya aina ya Samsung kama miaka mitatuhivi au zaidi na yenyewe imekufa Touch panel, knob ya start. Je naweza kupata spare hizi hapa bongo kabla sijaenda online. Maana sasa hivi natumia Magnetron ya Samsung baada ya kuing'oa na kuipachika kwenye LG iliyokufa magnetron, but it does not have perfect fit.
 
Back
Top Bottom