Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

View attachment 1565940
Katika design ambayo Range Rover walicheza kama Pele ni hii hapa. Ukiachana na P38 na Vogue ya 2002 the finest design ni hii!

Hio unayoipenda wewe mie sijawahi ikubali hata.
Mie hizi nazikubali sana, ila hazijanibariki machoni pangu.. ni kama watoto wazuri, unakuta wazuri wengi ila anakuteka mmoja na sababu ya kukute inaweza ikawa rahisi tu
 
To be honest hii Lexus LX 570 silipendi,pamoja na kuwa inaweza kuwa na features za kisasa sana,ukiniambia nichague kati ya hizo mbili ili niiridhishe roho yangu ntakimbilia hiyo V8,

hiyo lexus kuna jamaa mmoja analo hapa mtaani kwangu,sio kwa sababu ya jealous ila halipendezi sana,hiyo desidgn yake kwa mbele na hata nyuma,sana sana ni indicator zake zinavyowaka otherwise kwangu ni ya kawaida sana...
 
Ila ni gari kali sana mshua...Mi naona liko sawa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…