HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Ivi ni kweli mshahara wa mwalimu level ya degree ni sawa na mshahara wa Nurse level ya cheti? na kama ni kweli vipi Nurse level ya diploma anamzidi mwalimu kiasi gani?
Na kama si kweli kuna haja ya form 4 waliopata dalaja la 4 la mwisho wakakimbilia Nursing kujilinganisha na Mwalimu mwenye degree? Na kama ni sawa Mnanishauri vipi mimi mwalimu niliyejifanya nina kiherehere eti naenda kusoma degree ya ualimu kisa nimefauru mitihani yote ya level ya secondary na msingi?
Ntashukru kwa ushauri wenu