Bora kwa coaster.
Hivi jana niliwa nakuja Tabora na gari fulan kubwa tu. Watu wanapangwa kama mishikaki na ni dar - tabora.
Biashara ngumu konda kila anaetokea na hela anamweka ndani wanakaa pale mbele kwenye boneti mpaka wanachoka halafu wanawaweka katikati