nikolas digala
Member
- Aug 7, 2016
- 42
- 25
kuna watu katika marafiki ulionao ambao wanaangalia na kukagua page yako kila cku., lakini hakuna like wala coments ya aina yyte..balaa zaid n kwamba wameshindwa hata kukufuta maana wanaogopa sana watashindwa kupata updates unazopost wakifatilia kwa makini kitu gan unafanya..
Level ya uchawi ktk Africa itakuja ua mtu..
Level of whichcraft in africa will kill some one
..whichcraft haijawah mwacha mtu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Level ya uchawi ktk Africa itakuja ua mtu..
Level of whichcraft in africa will kill some one
..whichcraft haijawah mwacha mtu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app