haha kwahiyo unadhani ccm walitumia nn jumapili bilion na for 50 and plus years wameigeuza hii nji yakwao
na wake zao
ndugu zao
wakat wengine wanataabika kama wakimbizi njini kwao
ukiwa na kadi ya ccm ni qji tosha kwa lolote loh tumecho
maneno ya ccm ni yaleyale hakuna lolote jipya...............
waondoke wengine waje takataka kabisa