tril 400 uchumi wa nigeria kwa sasa.Leo Benki kuu imetoa Tril 400 kusaidia mzunguko wao wa kifedha na kununua madawa.
Huu ugonjwa ukiendelea kwa wiki ijayo China itaumia na dunia itaumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wa kuwa na mawazo ya kipumbavu yaliyokosa ekima.unaona Raha wenzako wanavyokufa?.Daaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati
Nchi haizalishi inakua busy kuhudumia mamilioni ya wagonjwa yaani unakua busy tu kupambana na ugonjwa
Yaani hadi nimeionea china huruma aisee yaani hadi inaomba support kwa umoja wa ulaya ambao ni mabeberu [emoji23] sio kitoto
Wanaosema china walitengeneza kwa ajili ya kuzuia maandamano ya hongkong swali jee kama walifanya hivyo walitengeneza bila kuwa na dawa?
Suala la korona linaumiza kichwa sana na huenda mabeberu wana mkono wana msemo wao wa "We put disaster into an opportunity"
Halafu tabia ya Wachina kula kila kitu mpaka visvyoliwa ni sababu maana huwezi kujua kulikua na aidha ugonjwa uliosambaa kwa popo i mean magonjwa ya mlipuko kwa wanyama na ndege mfano mafua ya ndege,kideri,kimeta,hiyo ni mifano kwa magonjwa ya mifugo nachomaanisha ni kuwa huenda popo au wanyama wengine walikua na mlipuko wa magonjwa unaondelea kimya kimya bila wao kujua wakaendelea kula ndo ikawa hivyo
Wengine wanashindwa kuiombea china kwa sababu ya madhila wanaowafanyia minorities people like Muslims na Christians japo wakristo hawajakumbwa na udhia kivilee huko china kama waislam ambao wamekumbwa na madhila wanayofanyiwa na wachina
Lakini mbali na hayo tuwaombee tu tusihesabu mabaya yao
Ziko wapi nchi za Africa, AU mko wapi mbona china ni mshirika wenu na ni muungaji mkono wa baadhi ya madikteta uchwara hapa Africa mbona kimya hamumsaidii china ambaye mnamsifia kwa kusema ni rafiki wa kweli kwa Africa?mko wapi mumsaidie?Africa mbona kimya hampeleki sapoti kwa Chinese?si mmesema ni mshirika thabiti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa nyingi sana hizo akipewa yule kichaa wa magogoni hiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23] angenunua ndege milioni mojaLeo Benki kuu imetoa Tril 400 kusaidia mzunguko wao wa kifedha na kununua madawa.
Huu ugonjwa ukiendelea kwa wiki ijayo China itaumia na dunia itaumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tubebe Waganga wote wa Africa kuanzia Nigeria, Ghana, Cameron, Tanzania na South Africa waende na hirizi zao wakatibuDaaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati