Mibaguzi ya Kiarabu ndio umefika tamati. Wacha warudi huku Arabuni kupambana na Taifa Stars na Burundi 🇧🇮Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha moja tu, nayo ni kandanda.
Kwanini nimesema haya na kwanini nimesema sasa, baada ya Mchezaji wa Morocco kusema kwamba ushindi ni wa Waislamu na Waarabu (mimi ingawa sio vyote hivyo wala it does not matter kama ndio wala sio nilimuelewa) na jibu zuri taweka interview ya Kocha wa Morocco kabla ya game na Canada.
Pili soka ni kama kioo mfano mtu mwenye kilema kidogo kama Garrincha alivyoweza kucheza na kuweza kupiga sana chenga lazima vilema wote walikuwa wana-associate na Garrincha kwahio akisema ushindi huu unawakilisha vilema sio kwamba anatutenga wazima, wala hawezi kusema vilema msinishabikie sababu watu wasio vilema watasikitika.
Tatu inabidi FIFA waendelee kuwa wakali katika Political Statements kwenye Pitch wala hazifai au Serikali kutumia Timu ndani ya Uwanja kutoa Statement zinazotenga wengine huenda ikawa hasara kwa Timu fulani kukosa baadhi ya mashabiki unless kuna direct connection na mashabiki hao.
Kwahio tuache kuwa petty na tuangalie performance ya ndani ya pitch na sio maisha ya watu / mtu nje ya pitch (lakini kama una associate na mtu fulani sababu una-connection fulani) sio mbaya kwa mchezaji huyo kukuwakilisha, Mfano Pele aliwakilisha watu weusi wengi sana kipindi cha ubaguzi; kwa watu hao kuona kwamba kumbe hata sisi tunaweza, vilevile humble beginnings za kina Maradona ziliwakilisha masikini.
Let's not Kill The beautiful Game.
Boufal alisema hivi.... alisema hivi....Kocha hana baya, kaongea vizuri tu, sijui huyo boufal sijasikia interview yake.
Waarabu ni wabaguzi ? Kuna ukweli fulani......; Kwahio hata akiwepo Muarabu mtanzania asicheze timu ya Taifa au akicheza utaacha kuwashabikia ? Nadhani ni vema kutenga kila issue huenda mtu ukakataa kuishi huko kutokana na kutofurahia culture yao ila kuingiza Politics kwenye the Beautiful Game sio Poa.... (Upuuzi ubakie nje ndani ya Uwanja tunaongea lugha moja tu nayo ni Soka)Mibaguzi ya Kiarabu ndio umefika tamati. Wacha warudi huku Arabuni kupambana na Taifa Stars na Burundi 🇧🇮
Ushenzi wa Waarabu unaingia kwenye Pitch ?Waarabu ni washenzi tu
Ushenzi wa Waarabu unaingia kwenye Pitch ?
Kumbuka what's at stake..., might be kuongezewa namba ya timu za mpira kumbuka zamani tulikuwa na timu moja..., hadi kufika tatu ni kazi nzuri ya Cameroon 1990....
Kwahio ushenzi wao tutauongelea baada ya kuvuliwa uwakilishi wa Bara la Africa...., By the way kwanini uishie tu kwenye hii timu huko na usigomee kisimbuzi na product za Azam ? Au where do you cross the line ?
Binafsi ni kama Mwalimu alivyosema Kaburu ni Kaburu tu...., Kama mtu huku anawabagua wengine kwamba sio wazawa ni Kaburu hatuwezi kumuacha eti sababu ni mweusi mwenzetu... (Paraphrasing)
Nimekupa mfano wa Garrincha pale juu na ukilema..., Pia nimekukumbusha huenda Morocco ina mashabiki wengi sana hapo Qatar sababu ya uarabu wao (ila hio haitoi uwakilishi wao kwa Africa) ndio maana nikakupa interview ya Kocha wao (mtu mwenye busara ambaye I hope tupo wengi wa hivyo)..., kwahio hata wewe huenda ukiwa mcheza mpira mzuri na mmakonde wamakonde wasiopenda mpira wakakushangilia (ila hio haipunguzi utanzania wako)Maimtafutie maneno ya kumfanya aonekane alichokiongea ni sahihi
Hio sio Romours North African countries identify themselves more as Middle Eastern ndio maana hata mimi tukija mashindano ya ndani ninashabikia kwanza kina Zambia n.k. (sababu sisi hatumo na tukienda tunazingua) na Kenya huenda usishabikiesa sana (bragging rights) na watakucheka mpaka kingdom come..., ila nashabikia sana K.K. Eleven (The mighty Zambians) huenda sababu ya kombe la Challenge la zamani walikuwa wanakuja kwetu so I can identify more with them....Amezingua kwasababu moja tu, awali kulikuwa na rumors kuwa waarabu wamekuwa wakiukana uafrika na kusisitiza wao sio waafrika bali ni wa arabu
Like I said hapo juu leo ni flag bearers wa Africa no matter tabia zao (hizo ni za kwao) na kufanya kwao vizuri huenda kukatongezea Timu zaidi Africa...Kufuatia kauli yake maana yake anaenda kuwathibitishia wale waliokuwa hawakubaliani na ile rumor kuwa hawakuwa sahihi kupingana nayo
Naam huenda ni kweli ila sidhani kama huu uzi ni kujadili ukosefu wangu wa akili..., sidhani kama jamii ina muda wa kupoteza....Wewe akili huna
Who said otherwise ?, Na Morocco anacheza huko kwa mujibu wa nini ? Kuvunja Sheria ?Azam anafanya kazi chini ya sheria za Tanzania
Wewe ndio umesema waarabu ni wajinga mimi nikakujibu ujinga wao unaingia vipi kwenye pitch ambapo lugha ni moja tu nayo ni kucheza mpira ? Kwahio ndio maana nikasema kwa mtaji huo (waarabu ni wajinga) kwanini hata ununue kisimbusi cha AZAM au mali za Mwarabu (au Baniani mbaya kiatu chake dawa)Km unadhani uyo yupo juu ya sheria aingize udini hadharani (kinyemela anaweza) km waarabu wajinga km atadumu hewani hata saa moja
Nani kasema hivyo to each his/her own ila asiyetumia kingamuzi sababu mmiliki ni mwarabu au aliyeleta service ya watu kuweza kuangalia ligi yao kwa urahisi majumbani mwao nani ni mjinga ?Ulivyo mjinga unadhani kila mtu anatumia Azam
Ni vema na Haki....Mi nadhani tupambanie Taifa stars iende world cup,
Huyo Captain atakuwa mjinga na wala hakuna sababu..., lakini akisema huu ushindi ni wa East Africa na nchi za maziwa makuu, hakuna neno - wala haimaanishi kwamba utakuwa sio ushindi wa Afrika nzima... (na kama wengi tungekuwa ma-rasta angeweza pia kusema kwamba ushindi huu ni wa marasta pia) ila haimaanishi non rasta sio ushindi wao....Kisha tukishinda capteni wetu aseme huu ushindi ni kwa ajili ya wazaramo, wakurya, wasukuma, wagogo, wamachinga na jumuiya yote ya kwamtogole, madale, uwanja wa fisi, kwampalange nk
Hata huyo ni chuki tu za Africa hakuna baya aliloongea uelewa wa Africa ni mdogo sana.Kocha hana baya, kaongea vizuri tu, sijui huyo boufal sijasikia interview yake.
Sasa huoni by default kusema hivyo unamaanisha hata yeye mtoa statement ana uelewa mdogo ? au yeye sio Mu-africa ?Hata huyo ni chuki tu za Africa hakuna baya aliloongea uelewa wa Africa ni mdogo sana.