Let's Not Give Up

Bigmaaan

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
624
Reaction score
1,366
Maisha yana changamoto sana nyakati nyingi. Zipo changamoto ambazo giza linakua jingi sana—aidha kwa matendo yetu au matendo ya wengine.

Hakuna kukata tamaa, unaanguka unanyanyuka tena. Muhimu kuishi na watu vizuri.

Huwa nayakumbuka sana Maneno haya:

"Tengeneza amani na wewe mwenyewe,
Tengeneza amani na Jamii,
Tengeneza amani na Mungu"


View: https://youtu.be/JJMlKzTTENI?si=M6d8K159oRH98Wsu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…