Do you think they will understand you? They are filled with inferiority complexes and I believe these kind of people are good for nothing when it comes to life in general because lack of belief in themselves doesn't end on bleaching only but in all aspects of life. I happened to know one who bleached her skin, she always feared everything and she was used to be tempered unreasonably
Elimu pia inachangia kwa kiasi kikubwa sana. Wengi wanao jichubua hawana elimu na hawajiamini. Na pia ni muda wa serikali kuamua taifa letu liweje na watu wawe na mawazo gani reaction zao ziweje miaka kumi ijayo. Media zina changia sana hili suala na ukizingatia pia kila Tv Commercial ina prefer light/ fair skin women na hii ina athiri dada zetu sana.
Do you real think elimu to be the factor? For your information even graduates do that. Ukisema tv na baadhi ya waigizaji kupromote hiyo kitu I will agree with you, mfano wale alina Mkwere na yule mama kindole utawasikia wakisifia weupe eti mtoto cheupe ...(kindole's voice) sasa hao ni ukosefu wa elimu na kujiamini lakini kwa wasomi na wajanja wa mjini ni kutojiamini tu
Elimu pia inachangia kwa kiasi kikubwa sana. Wengi wanao jichubua hawana elimu na hawajiamini. Na pia ni muda wa serikali kuamua taifa letu liweje na watu wawe na mawazo gani reaction zao ziweje miaka kumi ijayo. Media zina changia sana hili suala na ukizingatia pia kila Tv Commercial ina prefer light/ fair skin women na hii ina athiri dada zetu sana.
Whitey don't have beautiful white skin that God gave them for keeps?
Jamani kujichubua ni bomu lingine linalosubiri kulipuka.
Sio akina mama,mabinti kwa vikongwe na hata vijana wa kiume nao wanajichubua sana siku hizi.
Hebu zipendeni ngozi zenu jamani!
Watu mmekuwa na mabaka kama chatu,uso na miguu ni vitu viwili tofauti hadi kinyaa!
HAMPENDEZI!
Nifah upo mama?wewe ndo first lady wa jf.
Ili mradi mtu ana pesa yake ya kujichubulia, acha wajichubue.
Kwanini afanye hivyo
Ilo ndilo swali?nahisi mtu huyo na tatizo la Kiisaikologia
Of course tatizo linakuwepo..mtu anajiona hajakamilika