Lets imagine kidogo.....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Jamani mambo vp jamani,natumaini mmejibu poooah na hasa kwa wale wananchi wenye uhakika wa kupata musosi,haya nawasumbua kidunchu eti lets imagine kama watu hawa wasingepata elimu,wasingekuwa wanasiasa wangekuwa wanafanya shughuli gani na wangekuwa wanakaa maeneo gani?
-mkwere(Jk),hediwardi lowhasa,r-aziz,makamba,makinda,mizengo piinda,ngeereja na huyu ndugu yangu kawamba.

huwa nawaza bt nimegundua mkwere angekuwa na kundi lake la ngoma za kiutamaduni na angekuwa anakaa uswahilini kama tandale tandale hivi na huyu makamba angekuwa mwimba taarabu tena wa back-stage na angekuwa anakaa magomeni flani.wapendwa mshawahi fikiria kuhusu mtu mmojawapo wa hapo juu ,hebu tupe utamu tujiliwaze away from all probs. of this nation.
 
Mi nnaimagine kama mkwere angekua hajasoma na wala hajui lolote katika siasa kungekua na mawili kwanza angekua muuza korosho pale stendi ya maili moja kibaha au pale mizani, kama si hivyo basi angekua na genge la matunda pale mbagala rangi tatu.

kwa makamba kidogo yeye angekua dalali wa viwanja na nyumba za kupanga.
 
nadhani angekuwa anasaidiana na ridhiwani ktk kuuza korosho huku miraji anazichoma korosho na kwa upande wa makamba angeshirikiana na january makamba naye angekuwa dalali maarufu sana.
 
haaaa mtabaki na ange ange ange mwenzenu yuleeeeeeeeeeee:rain:

Teh teh teh teh teh .......na-imagine na wewe shosti ungekuwa una saluni yako ya kike na unajaza wateja weeeengi wanafuata umbeya wa hapo saluni kwako,teh teh teh ni utani tuuuu shosti.
 
Mimi naimagine kama wafuatao wasingekua wamesoma na kuwa wana siasa wangekua hivi :mkwere .angekua muuza madafu pale kibaha. Makamba naye angekua anawatari na kuwakeketa w2 pinda lazima angekua mganga wa kienyej au mchunga mbuz na ng'ombe kule kwao. razizi angekua anaish kwenye slams na kuny*a porini pia angekua anamzindikiza bibi ake kwenda kuombaomba barabarani. Lowas yeye angekua anauza ugoro kule munduli. ngeleje angekua mlizi wa shell
 
Teh teh teh teh teh .......na-imagine na wewe shosti ungekuwa una saluni yako ya kike na unajaza wateja weeeengi wanafuata umbeya wa hapo saluni kwako,teh teh teh ni utani tuuuu shosti.

hahahahaah umbea na ukuwadi du ingekuwa inajaza kabla sijafungua foleni kuuubwa:wink2:
 
mimi huwa nashangaa sana kawambwa kashindwa ujenzi eti unampa elimu na unajua kabisa elimu ndio msingi hasa wa maisha kwa kila taifa nadhani matokeo yake hayafichiki huku kubebana kumezidi sasa wajameni

Back
Top Bottom