Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Yani chadema hakuna mtu mwenye utimamu anaweza kuwa ruhusu kwenda ikulu. Yani siasa zinawatoa utu kabisa.
Yani mnafanya siasa kama vita na kusahau sote ni watanzania.
Hivi yani mtu asisalimiane na watu kisa yeye ni chadema?hivi chadema kwanini mnapenda siasa za chuki?.
Mbona mbowe ni rafiki wa kinana,rostam,mkono na sumaye hadi wanapiga madeal?
Chadema hasa bavicha acheni utoto.