nhobola ye2
Member
- Dec 22, 2013
- 24
- 1
katka hali isiyo ya kawaida mbunge wa vti maalum jimbo la kwimba amekuwa rafiki wa pete na kdole na wana-ccm hatakufika hatua ya kutowajali wananchi hata kwa salam tu,haya yamejizihilisha leo katka stand ya ngudu mjini ambapo mweshimiwa ali-pack r4 yake na kuanza ku-chat na kna-malando(diwan ccm),na wengne wengi kutoka chama cha mizido'ntatupia pcha mda si mrefu'bila hata salamu kwa vjana na wazee waliokuwepo pale,Kitendo hki kilileta manung'uniko kwa vjana,nahata kuamini kuwa tayari naye alishakuwa tapel wa siasa'kwani wasukuma tunaaminikuwa- uluuyela na sumi ukusumila nu bebe'viongozi chunguzen huyu mama atatuangusha wapigania haki za wanyonge.