Hizo juhudi mngeelekeza kupambana na KipindupinduCorona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.
Hatuchezi na media, hata hao media wenyewe wanaonyesha picha za watu kadha wa kadha wanavyojiachia bila wasi na hii ni kwa sababu sio kila mtu ana akili sawa ya kutii, kuna wanaokuwa na dharau /kutojali.Yaani unavyoongea mtu anaweza sema kenya mnafata sana masharti ya corona kumbe mnacheza tu na media mikusanyiko yenu barakoa chache no distancing.
Hatuhitaji kukumbushwa lolote lile. Sisi tunapigana na yetu huku, nyinyi chapeni kazi tu.Sasa kwa ule mrundikano wa wiki lililopita kwenye Kumuaga Rais si hadi sasa hospitals zingekuwa overwhelmed?? But Nothing people are just okay with their life??
Mbona mnataka tuwakumbushe kutumia akili zenu?
Wakenya ni majuha sana, no wonder mnaongozwa na Mvuta Bangi,
Mngeanza kufanyia kazi hygiene ili msife kwa kipindupindu. View attachment 1736372
Corona inaweza kukulaza chini au hata usiugue kabisa ilhali unayo. Why? Sababu kinga za mwili za watu tofauti hazilingani. Na pia ukiwa una ugonjwa mwingine hatari kama kisukari, cancer, ukimwi nk covid ikikushika huwa maisha yako ni 50/50, unaweza kupona au la. Na usisahau kuna wale wanaoitwa 'Carriers', wanavyo virusi ila haviwadhuru na hii ndio hatari zaidi sababu wao ndio husambaza huu ugonjwa bila kujua. Wao wako sawa kabisa, kuchemua kiasi tu hata wengi wao hawana habari na wako manyumbani, ofisini, mitaani nk.
Nachosema ni Covid ipo na inaua na ni hatari, kama hujaona, BRAZIL, SPAIN, AMERICA, ITALY vile walipelekeshwa na ni mataifa yanayojiweza, think twice, wacha kuzingua watu.
Wanasahau UKIMWI hauna dawa wala chanjo, na wanasayansi wakubwa duniani wapo!Usichokijua bwana John ni kwamba Corona isipopigwa vita huwa inafanya mutations na kuzalisha kirusi hatari zaidi ambacho hakijali umri wa mtu,hali ya mwili wa mtu wala mikwara ya watu.Ni kinaua fast,effectively and efficiently!
Cha muhimu ni kirusi C-19 kupambanwa nacho kwanza ndio hayo mengine yafuate pole pole. Kenya is still a developing nation, so usitarajie kila kitu kitafanyika at once.Hizo juhudi mngeelekeza kupambana na Kipindupindu
View attachment 1736384
Unajua kusoma?Umesoma nilichoandika hapo?Wapi nimesema kuwa siyo kawaida kwa virus kufanya mutations?Ni kawaida kwa Virus yoyote kumutate,
Unaposema isipopigwa vita unamaanisha nini?
Wewe una knowledge yoyote ya science au utaandikaandika tu kama mwendawazimu
Like Wakenya watano watatu Wana Covid..mbona hamuongelei hichi kituNamuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.
Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.
Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.
Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
Acha kuandikaandika vitu usivyovijua.Unajua kusoma?Umesoma nilichoandika hapo?Wapi nimesema kuwa siyo kawaida kwa virus kufanya mutations?
Eti kemri [emoji3][emoji3][emoji3]Hili suala limegeuzwaje likawa ni majadiliano kuhusu Kenya? Researchers sio wakenya na COVID-19 ni janga la kimataifa. Nchini Kenya shirika la utafiti la KEMRI limekuwa makini sana na limekuwa likifatilia kirusi hicho na strain zote ambazo zimepatikana nchini Kenya. Upumbavu wa hali ya juu ni huu ujuha wa kujaribu kuilaumu nchi jirani kwa mapingufu yenu.
COVID-19 Genome Sequencing Report ya kwanza kutoka kwa Kenya Medical Research Institute(KEMRI)-Centre for Virus Research(CVR) ilikuwa 'deposited' kwenye World Gene Bank mwezi Juni mwaka uliopita.Eti kemri [emoji3][emoji3][emoji3]
Mpambane na hali zenu,kwani kwenu covid iliisha tangu muanze kupima,lockdown etcNamuonea huruma huyo mama kama naye ataendekeza huo ujuha, basi mbona msifunge hospitali zote na hata kufuta elimu yote ya sayansi na kuwafuta madaktari wote wakachome mkaa vijijini na kufanya mengine. Mumejitoa ufahamu hadi kuonekana kituko cha dunia, kirusi kinawatafuna kuanzia mtu wa kawaida mpaka kwenye kichwa cha nchi lakini bado mumedumaa na kushupaza shingo.
Huyo Yesu unayemtaja, tupo wengi tunamuamini na tunaamini katika uponyaji wake, mimi nikiwemo kama Mkristo, lakini siwezi nikamlazimishia kwa mtu mwingine ambaye anaamini kitu kingine tofauti na imani yangu, na ndio maana taifa lina katiba na sheria ambazo zinahakikisha usawa, kwamba kila mtu na imani yake lakini tukutane kwenye katiba na kuchagua namna ya kuishi pamoja.
Urais ni taasisi, sio mtu binafsi na imani zake za kiroho.
Nina jamaa yangu mshikaji sana Tanzania, yaani zaidi ya ndugu nimepata taarifa anaumwa kwa hizo changamoto zenu, mpaka imenitia hofu sana sina amani moyoni.
True ?, ila unajua mutation na kubadilika ?, Ya China tuliishinda, ya Afrika Kusini ikaja na yake (mbaya kuliko ya China) zote hizo zikaondoka na wakuondoka tuliobaki tukawa tumetengeneza immunity yake....Hata Mimi Nina corona ila siwazi Maisha yanaendelea..corona haiui ndugu zangu sii hatari Kama inavyosemekana
Like Wakenya watano watatu Wana Covid..mbona hamuongelei hichi kitu
Hampimi, mtazijulia wapi?Punguzeni propoganda majirani...
Hizo taarifa mbona issi hatuna...
Tutapimaje kitu ambacho hakipo...Hampimi, mtazijulia wapi?