robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 800
- 1,301
Kuna mchezo tunaletewa kana kwamba hatuna elimu vichwani: Yaani Walioua ndugu zetu sasa wanajiita viongozi.
Mwigulu kaanza hadithi za kutohesabu waliokufa, wakati waliokufa siku zote tunaletwa idadi; Feri la kigamboni, MV Bukoba, Kipepeo, Treni iliyoseleleka, Mv Nyerere, nk. Eti sasa tuna waziri mkuu mwenye akili sana analeta mila ya kutohesabu waliokufa.
Tunataka kufahamu ndugu zetu wako wapi? Aliyetoa amri ya mauaji ni nani? waliokuwa wanauwa wako wapi? Hizo hadithi za kuharibu mali za watu kwani kabla ya uchaguzi aliyeteka na kuuwa watu alipoteza mali gani? Endeleeni na hotuba zilizojaa vijembe vya taarabu.