Let Kagame Have a Third Term as President

Forbes. /twaweza
 
Hata angepewa awamu kumi, there is nothing i'll get or lose..... After all PK is not my competitor
 
Huwa nafurahi kweli jinsi anavyochangia. Unakuta anampinga Nkuruzinza kwa kubaki madarakani halafu anamkubali Kagame aendelee kuongoza Rwanda!
na hilo ndio tatizo lako... KUKURUPUKA! sasa hebu niambie Nkurunziza abaki anafanya nini? miaka kumi aliyoongoza, amefanikiwa kuirudisha nchi nyuma miaka 20 sasa utafananishaje hao viumbe wawili kama kweli unaakili timamu, BTW ulishaona maandano nchini Rwanda yanayopelekea mauwaji ya raia kama Burundi? kajipange urudi...
 
Mtazamo wako unamakengeza
 
Ina maana katika Rwanda yote yeye ndo mwenye uwezo kuliko watu wote wa Rwanda?. Kama ni hivyo basi poleni sana ndugu zetu wanyarwanda!
 
Ina maana katika Rwanda yote yeye ndo mwenye uwezo kuliko watu wote wa Rwanda?. Kama ni hivyo basi poleni sana ndugu zetu wanyarwanda!

Tatizo pale ni ututsi na hutu.Wahutu ni 85% huku watutsi wakiwa 15%.Uhasama wa haya makabila mawili unajulikana nje ndani sasa utashangaa Kagame anapata 95% ya waungaji mkono third term.Ina maana hata wahutu wanaowachukia watutsi wanampatia kura zao Mtutsi mbaguzi aliyejaza watutsi wenzake serekalini.
 

Nice words indeed, but you better give credit to the greats who decided on fixed terms in democratic systems - even in the US. They saw "reality" beyond "nice guys". in our particular environment, you certainly don't tell me that should the likes of Kagame or Magufuli decide to run for office for the third or even tenth term, rejection through "due democratic process" is a possibility.
 
At least someone who speaks my language. Dear friend, your notion on constitutional limit is not in dispute. Any modern society is way beyond the periphery of "good guys" or a Max Weber puts it " the spirit of charismatic leadership" ; henceforth any civilized nation ought to be ruled by established corporate institutions.

But at the end of the tether any democracy society has to venture itself in ascertaining the public opinion. Which sometimes can be a proper manifestation of Sovereignty of the people. Wearing these shoes none of us can decide whether or not President Kagame is a suitable candidate for running Rwanda.

I humbly think any Democratic society must ascertain public opinion before embarking in unnecessary criticism. And of course public opinion must be in line with The Concepts of Justice and Liberty as an appropriate checks to deter the emasculation of constitutional integrity.
 

Akili za kipuuzi kweli, unadhani kuna watu wangapi wanaweza kufanya mazuri zaidi ya Magufuli na Kagame? kama wapo wao watapata kuongoza lini? wataendelea kwa nguvu alafu wengine nao watakuja kufanya hivyo. Juzi Mseveni aliombewa atawale adi afe sijui hapo unawalaumu wazungu?

Kitu ambacho kinasababisha wazungu wawazarau ni kutofuata kile mlichokubaliana kukifuata alafu kukifuta nacho hamtaki, wao wanafuata kile walichokubaliana kukifuata
 
Demokrasia gani mnayoifuata ninyi? Acha kudanganya watu,paka alilazimisha watu wampigie kura ya kumruhusu kugombea muhura wa tatu. Mlituma polisi wenu na wanajeshi kuwatisha RAIA ili wakubali,mliwashikia hadi bunduki na yeyote aliyeonekana mpinzani wa muhura wa tatu mlimuua.
 
Huwa nafurahi kweli jinsi anavyochangia. Unakuta anampinga Nkuruzinza kwa kubaki madarakani halafu anamkubali Kagame aendelee kuongoza Rwanda!
Huyo ni wa kumpuuza mkuu, hana maana hata kidogo yeye mtutsi kwanza mengine baadae. Anampinga Nkurunziza kwa sababu ya uhutu wake,anamsapoti paka kwa sababu ya ututsi wake. Lakini kwa Burundi wameshaacha kuleta fyokofyoko maana paka na washirika wake kina Pierre Buyoya,Alexis Sinduhije na Hussein Radjabu wamedhibitiwa vya kutosha.
 
Rwanda it's a 1 man show /leadership country, he wanted to lead for a third term and no body dared to oppose him. Rule 9f law should be respected regardless how good his leadership is because there are many Rwandan people who can lead even Nelson Mandela left after 1 term even though the people were begging him to stay on.
 

Mkuu kweli walifanya hivyo?
Duuuh basi amekosea sanaaaa.
 
Mkuu kweli walifanya hivyo?
Duuuh basi amekosea sanaaaa.
Mkuu ninachokisema hapa ni kweli tupu,sijawahi kudanganya. Nimekaa Rwanda miaka mitano hata paka alipoitisha ile Reverendum I was in Rwanda. Walichokifanya maafisa wa polisi na jeshi ni kuwalazimisha watu kukubali muhura wa tatu wa paka tena kwa mtutu. Hayo maigizo anayoyafanya paka&co ni mbembwe tu. Kwa mazingira ya Rwanda na Burundi mtutsi hawezi kutawala kwa njia ya kidemikrasia, maana ukimsimamisha muhutu dhidi ya mtutsi kwenye uchaguzi expect no Tutsi will be elected kwanza kwa uhasama uliopo pili kwa uwingi wa wahutu dhidi ya watutsi.
 
Hii thread inachekesha kweli. eti "Let kagame..." As if banyarwanda have a choice of NOT letting him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…