1. Not everyone who shits on you is your enemy
2. Not everyone who gets you out of shit is your friend
3. And when you're in deep shit, it's best to keep your mouth shut
Huyu ndugu yetu Boflo naona kakopi story halafu hakuandika kaitoa wapi? Hata hivyo nimecheka sana baada ya kusikia maneno hayo kwenye hii film ambayo ingawa nimeshaangalia siku nyingi, nimeona tena niingalie na kukuta maneno haya. Kama si Boflo, si ajabu wala nisingeweka mkazio wowote kwenye hiyo story.