Huo ndio weusi wa Afrika kwa nchi ya Waafrika ya watu weusi, sio kujichubua hadi mtu unafanana sokwe. Wengine hujichubua na kusahau maeneo mengine kwenye mwili mkiwa naye kwenye shughuli kama amevua nguo anafanana chui kwa ajili ya madoadoa.

Sio lazima uwe mweusi mithili ya Lami ndio uwe defined kama mwafrica.
Tunajua nyie jamaa na hao majirani zenu wasudani ni weusi dizaini ya Mkaa.
Huku Tz majority ni fair colour and light skinned. Ni nadra sana kukutana na darkness kama ilivyo huko kwa wajaluo.
all in All blacks and whites are beautiful!, depending on the viewer's eye.