Geza Ulole wea u at?
Before SGR started ww ulikuwa hapa ukishout White Elephant project .....yes...cjasahau nlikuambia ntakuwa hapa na ww 2018 ....well 2017
Huo ndio weusi wa Afrika kwa nchi ya Waafrika ya watu weusi, sio kujichubua hadi mtu unafanana sokwe. Wengine hujichubua na kusahau maeneo mengine kwenye mwili mkiwa naye kwenye shughuli kama amevua nguo anafanana chui kwa ajili ya madoadoa.
Ahh wapi picha hizo kama si za ulaya basi ni render bado Tutawapita Tukijenga Tuanze kutumia Tukiimararisha umeme si pipeline Tulishanyakua Tutaanza kujenga na pia hata Viwonder hahaha
Geza Ulole wea u at?
Before SGR started ww ulikuwa hapa ukishout White Elephant project .....yes...cjasahau nlikuambia ntakuwa hapa na ww 2018 ....well 2017
Tayari all the Commercial spaces kwa all stations zisha pata tenants ....tutakuwa hapa na ww next year wakisoma profits bado na ntaleta hii news tu ...cjui utanipea link gani ni click "hapo" then!