J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 4, 2016 #1 Habari wakuu, naomba kujua hapa Tanzania kuna utaratibu wa wizara ya elimu kutoa leseni au kibali cha kufundisha kwa walimu watanzania? na kwa utaratibu gan kama upo?
Habari wakuu, naomba kujua hapa Tanzania kuna utaratibu wa wizara ya elimu kutoa leseni au kibali cha kufundisha kwa walimu watanzania? na kwa utaratibu gan kama upo?
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,885 Reaction score 13,950 Apr 5, 2016 #2 Lesseni jaman hili limekuwa gar? Kimsingi huwa ukimaliza chuo unapewa cheti unapata kazi
J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 5, 2016 Thread starter #3 balimar said: Lesseni jaman hili limekuwa gar? Kimsingi huwa ukimaliza chuo unapewa cheti unapata kazi Click to expand... hebu pitia hii fomu hapa chini kisha unijulishe inataka nini hasa? hyo pdf hapo chini Attachments FOMU NA RS_4.pdf FOMU NA RS_4.pdf 24.6 KB · Views: 285
balimar said: Lesseni jaman hili limekuwa gar? Kimsingi huwa ukimaliza chuo unapewa cheti unapata kazi Click to expand... hebu pitia hii fomu hapa chini kisha unijulishe inataka nini hasa? hyo pdf hapo chini
J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 5, 2016 Thread starter #4 Ukitaka kufundisha nje ya nchi pia ukiachana na vyeti vyako huwa wanadai teaching license kutoka ktk serikali yako...
Ukitaka kufundisha nje ya nchi pia ukiachana na vyeti vyako huwa wanadai teaching license kutoka ktk serikali yako...
J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 6, 2016 Thread starter #5 una la kuongeza?
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,158 Reaction score 2,275 Apr 6, 2016 #6 Leseni zote zimexpire 2012, walimu wa leseni no wale mliowaita voda fasta
J JAMBONIA 2 Member Joined Mar 25, 2016 Posts 45 Reaction score 11 Apr 7, 2016 Thread starter #7 Pukudu said: Leseni zote zimexpire 2012, walimu wa leseni no wale mliowaita voda fasta Click to expand... Doh kumbe....
Pukudu said: Leseni zote zimexpire 2012, walimu wa leseni no wale mliowaita voda fasta Click to expand... Doh kumbe....