Chapat
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 283
- 202
Mwezi wa pili sasa nasubiri msg kutoka TRA naona haifiki. Izi kadi kupata ni changamoto sana. Mh Raisi pengine wanahitaji na hili uliseme wewe.
Tupo wengi, tatizo sijui ni nini?