Leo tupike Catress za mayai

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,913
Reaction score
67,434
Hellow

Kwanza chemsha viazu visiive sanaa kisha viponde ponde na uweke karot,hoho,kitunguu ukiweza unaweza weka pili pili kama hivi

Kisha chemsha mayai yako na yakiiva ya mwenye na uyakate kama hivi

Kisha yaviringe kiasi cha yai kutoonekana kabisa kisha weka mafuta jikoni na mafuta yakipata moto uweke na itakuws hivi

Mimi nitakula na samaki wa kukaanga na youghaty karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ