Una hamu Happycuit nyoosha maelezo usaidiwe๐Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo...mtumie msg best friend wako muambie
"kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"
Halafu tupe mrejesho wa screenshot
Kafunga PM??
Una hamu Happycuit nyoosha maelezo usaidiwe[emoji23]
Hayuko serious na challenge yakeKafunga aisee
Mimi au mleta uzi๐Kijana wa hovyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta uzi ana hamu lkn anapiga kona aseme asaidiwe๐ila we jamaa dah ๐๐๐๐๐๐
ndo mfanye kumsaidia sasa kama mmeshabaini tatizo ๐ ๐ , ila wewe hapana ๐๐Mleta uzi ana hamu lkn anapiga kona aseme asaidiwe๐
mbona iko wazi ๐Leejay fungua pm nikutumie ujumbe
Nauli juu yake lkn chakula na malazi atapata๐ndo mfanye kumsaidia sasa kama mmeshabaini tatizo ๐ ๐ , ila wewe hapana ๐๐
Acha uhuni Pisikalimbona iko wazi ๐
Njoo piem tuchangamshane next week wiki ya mshaharaKwani kuna ubaya gani na hapa tukichangamsha jukwaa????
aisee ๐คฆโโ๏ธNauli juu yake lkn chakula na malazi atapata๐
Mbingu utaiona kwenye katuni..... hahahahaha
๐๐ ๐๐๐Acha uhuni Pisikali
Ovulation sio poa mdogo wangu๐Hebu leo tufanye hii challenge kwa wote mnaosema kuwa urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo, mtumie msg best friend wako muambie "kwanini mpaka leo hatujawahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi"
Halafu tupe mrejesho wa screenshot.