- Thread starter
- #81
HahahaDuh, sawa correspondent 😂😂. Naitakia Totenham ushindi ama sare.
HahahaDuh, sawa correspondent 😂😂. Naitakia Totenham ushindi ama sare.
Eh huoni hata takwimuNna imani na westham kuliko totenham
Tayari city anaongoza, kwangu final game ndio ya kuamua ubingwa ila sio hii.Eh huoni hata takwimu
Today is the game
I knowTayari city anaongoza, kwangu final game ndio ya kuamua ubingwa ila sio hii.
Unawapenda nani?I know
Hii ina mchango mkubwa sana, siwapendi City jmn
Hii mechi draw 1-1 nakuahakikishia utabiri wako WHU hautafanikiwaTayari city anaongoza, kwangu final game ndio ya kuamua ubingwa ila sio hii.
Mi LiverUnawapenda nani?
Kikubwa City apigwe draw haitoshi jmnHii mechi draw 1-1 nakuahakikishia utabiri wako WHU hautafanikiwa
Uwezo anao, Pep ndio anaeifanya city iwe hivyo. Siku akiondoka ndio mwisho wa city kubeba back to back.Mi Liver
Ila leo niko na Arsenal
City anaondoa flavour ya EPL
Sio kirahisi hvyoHii mechi draw 1-1 nakuahakikishia utabiri wako WHU hautafanikiwa
Amka mshatiwa 1Duh, sawa correspondent 😂😂. Naitakia Totenham ushindi ama sare.
Basi Westham watashindaSio kirahisi hvyo
kapigwa 2-0Basi Westham watashinda
We umbwaMzuka Wanajamvi!
Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia.
Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo unataka kutwaa ubingwa mara sita mfululizo kwa kushinda mechi zake mbili zilizosalia.
Kwa upande wangu Tottenham itashinda hii mechi ukizingatia nayo inapigana k7cheza UEFA Champions league.
Kama Tottenham itashinda usiku huu basi itaifungulia njia Arsenal kuutwaa ubingwa unapo itaishinda Everton mechi yao ya mwisho jumapili.
Mashabiki wa Arsenal najuwa wanaomba sana Tottenham ishinde.
Senior JF local and international sports analyst and correspondent and a London based Chatham house Think-tank.