King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,637
Kitonga aka Mseleleko aka Ganda la ndizi.
Daah! Mchongo huo, sisi na ma Halotel yetu ngoja tupige chabo watu wakienjoy free offer!!
,😀😀😀.Hapa tuliowakimbia tigo sasa ndo tunaanza kusaka line zetu zipo wap
Mimi pia sijibiwi au offer imeisha?Mbona hawanijibu jamani mnajibiwa nyinyi tu ngoja wazee wa roho mbaya wa tukose wote waje
Itakuwa imeishaMimi pia sijibiwi au offer imeisha?