Leo TIGO wanagawa Free MBs tena 4GB kwa 14days

Leo tigo wanatoa offer kwa wateja wake unapata 4GB kwa Siku 14
Wengine wamepewa hadi 16GB inategemea uwa unajiunga kifurushi cha mda gani
Cha kufanya ni Unaandika neno “Free” kwenda 15166

Ndo nawasanua Mchongo Mkae kijanja

04eac317-4568-47df-be1f-b8973536a5ad.jpg
 
Ni kweli Mkuu.

Nilishakata tamaa na hii ofa, nilikua natuma neno BURE ikawa inagoma, neno FREE ndiyo limekubali kwangu. Nimepewa GBs za kutumia Facebook tu.

20211022_221747.jpg

20211022_221844.jpg

20211022_221853.jpg
 
Haya makampuni ya simu yanaburuzana tu huku rungu la serikali nalo likiwaswaga. Kila kampuni inataka kuridhisha wateja wake ila inashindwa kutokana na makubuliano yao ya kutosalitiana, yaani sasa hivi ushindani wao ni wa siri kwa siri ili wasipoteze wateja wao, mwendo umekuwa kuuma na kupuliza
 
Kama nimekusoma hivi.
 
Back
Top Bottom