D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,065 Apr 3, 2020 Thread starter #21 TANESCO said: Tupo vizuri sana kama haupati taarifa tupatie namba yako ya simu yenye WhatsApp na wilaya unayoishi kwa hatua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante kwa taarifa. Ila tukitoa taarifa mzifanyie kazi. Kwa mfano juzi kati niliwauliza nitawezaje kuhama toka tariff 1 kwenda ile ya kiwango cha chini yaani chini ya unit 75 kwa mwezi? Naomba jibu
TANESCO said: Tupo vizuri sana kama haupati taarifa tupatie namba yako ya simu yenye WhatsApp na wilaya unayoishi kwa hatua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Asante kwa taarifa. Ila tukitoa taarifa mzifanyie kazi. Kwa mfano juzi kati niliwauliza nitawezaje kuhama toka tariff 1 kwenda ile ya kiwango cha chini yaani chini ya unit 75 kwa mwezi? Naomba jibu
AmarokB JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 893 Reaction score 755 Apr 4, 2020 #22 Nina siku ya tatu hakuna mtandao tigo, line ni kama imezimwa tu, af wako kimya tu Sent using Jamii Forums mobile app
Nina siku ya tatu hakuna mtandao tigo, line ni kama imezimwa tu, af wako kimya tu Sent using Jamii Forums mobile app
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,792 Reaction score 46,910 Apr 4, 2020 #23 TANESCO said: Tupo vizuri sana kama haupati taarifa tupatie namba yako ya simu yenye WhatsApp na wilaya unayoishi kwa hatua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... We jamaa huwa unajibu kama roboti, huwa unanikera sana, hivi wewe ni binadamu au mechanical being?
TANESCO said: Tupo vizuri sana kama haupati taarifa tupatie namba yako ya simu yenye WhatsApp na wilaya unayoishi kwa hatua zaidi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... We jamaa huwa unajibu kama roboti, huwa unanikera sana, hivi wewe ni binadamu au mechanical being?