Leo nitakuelekeza jinsi ya kutumia IDM(internet download manager) baada ya trial period kuisha

Kuna file nimeattach kwa chini download file then twende sawa
1. after downloading then extract the file
2. Install idm.exe baada ya kumalza kuinstall exit idm hakikisha idm hai-run
Untitled.png

3 Click kwenye desktop then right click idm shortcut icon >>then IDM file location
upload_2017-9-1_0-8-43.png

4. Copy patch file na ulipaste kwenye IDM file location then patch ingiza majina unayoyataka then ok na ulifute ilo patch file kutoka kwenye IDM file location
5. Done

Good Luck
 
Attachments

  • IDM.7z
    6.9 MB · Views: 40
Binadamu wengine sijui wivu unawasumbua, sijui ujinga. Hii kazi uliyoileta hapa siyo mchezo na inahitaji moyo wa upendo halafu anatokea mtu from nowhere anacrash ulichoandika bila kutoa yake. Njia ndefu sana (Anaishia hapo hapo), ukimwambia atoe yake hana. Mwingine tumia magic Idm (Hii magic ndiyo nn?) Kama akili zinacharge angeweka link).
Kuna watu wapuuzi sana, wao wanasubiria wengine wapost wachangie pumba.
Hongera mkuu ni kazi nzuri sana.
Dah wape title tu waandae makala anyways you are lost
 
Wadau nimerudi kwa mrejesho mwingine, nimefanya kama jamaa alivyoelekeza mwanzo, nilivyo-restart Pc mambo yamebadilika kabisa

Kwanza PC ime-behave tofauti na nilivyozoea, imekuwa nzito na sasa ikiwaka hainipeleki kwenye home screen

Kama umekusudia kufanya kama jamaa alivyoelekeza, nakushauri chukua tahadhari, hili ni lisaa la tatu sasa nahangaika na pc na Wala haiwaki...

I don't know what's wrong...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gregoire's
Mkuu hili jukwaa ni kupeana ujuzi pamoja na kusaidiana kutatua matatizo mbalimbali. Sijaona sababu ya wewe kutumia lugha kali hivyo kumshambulia jamaa. Wewe ulikuwa unajua kitu lakini ukakaa kimya, mwenzako kafungua uzi kutupa kile alichonacho unamjibu hivyo. Kama wewe ni mtu mstaarabu utagundua kwamba hukumtendea haki.
 
Kwahiyo ulipoattach hicho ki IDM chako uchwara na ww unajiona umewin sana. Sijui umekiokota wapi? Usione nimekaa kimya ukafikiri sijui maana ya IDM. Hicho kiidm uchwara chako ikifika muda kinaomba serial key. Sijui una mdanganya nani? Nishakitumia miaka 3 nyuma nikakiacha
Pole sana dude. You are a big...a..s.s
Untitled.png

duh pole mjinga umenikosea heshima sababu hatujuani ila kwa taarifa yako latest idm version that is now available ni v6.28 build 17
you are lost kama una personal computer itumie tu kuangalia series kama wenzako wanavyofanya
 
Wadau nimerudi kwa mrejesho mwingine, nimefanya kama jamaa alivyoelekeza mwanzo, nilivyo-restart Pc mambo yamebadilika kabisa

Kwanza PC ime-behave tofauti na nilivyozoea, imekuwa nzito na sasa ikiwaka hainipeleki kwenye home screen

Kama umekusudia kufanya kama jamaa alivyoelekeza, nakushauri chukua tahadhari, hili ni lisaa la tatu sasa nahangaika na pc na Wala haiwaki...

I don't know what's wrong...

Sent using Jamii Forums mobile app
use that simple and short way of cracking latest idm version inafanya kazi poa usiingie registry edit kama hujui unachokifanya itakuwa kuna kitu kingine umekifuta na kama utakuwa haujui ulichokifuta kwenye registry na pc yako ikawa bado ina matatizo utatakiwa kuinstall window upya ili kupdate registry upya sababu umechokonoa file ambalo linatunza taarifa za mfumo endeshi wa kompyuta yako kama taarifa za programs, ulinzi wa komyuta yako na taarifa nyingine
Jaribu uninstall hyo idm ili ifute taarifa zake kwenye registry kama ikiwa bado inasumbua basi utakuwa ume-edit vibaya registry file ya program nyingine
Kama ikisumbua install window nyingine
 
Kuna file nimeattach kwa chini download file then twende sawa
1. after downloading then extract the file
2. Install idm.exe baada ya kumalza kuinstall exit idm hakikisha idm hai-run
View attachment 579279
3 Click kwenye desktop then right click idm shortcut icon >>then IDM file location
View attachment 579277
4. Copy patch file na ulipaste kwenye IDM file location then patch ingiza majina unayoyataka then ok na ulifute ilo patch file kutoka kwenye IDM file location
5. Done

Good Luck
mkuu asante kwa mchango wako, ila sijakupata vizuri hiyo procedure namba 4
 
ukextract kuna file lililopo kwnye folder 'patch' copy kwenye file location ya idm paste hyo patch kule the hyo patch file uliyoipaste run as an administrator then ingiza majina yoyote then exit alafu uifute hyo patch. Done
 
Wadau nimerudi kwa mrejesho mwingine, nimefanya kama jamaa alivyoelekeza mwanzo, nilivyo-restart Pc mambo yamebadilika kabisa

Kwanza PC ime-behave tofauti na nilivyozoea, imekuwa nzito na sasa ikiwaka hainipeleki kwenye home screen

Kama umekusudia kufanya kama jamaa alivyoelekeza, nakushauri chukua tahadhari, hili ni lisaa la tatu sasa nahangaika na pc na Wala haiwaki...

I don't know what's wrong...

Sent using Jamii Forums mobile app

shida imeanza mara baada ya kumaliza hio zoezi ama limeanza leo?

maana hapa chini ulisema kila kitu kiko poa

nimejaribu na inachapa kazi vizuri

nashukuru sana mkuu
 
use that simple and short way of cracking latest idm version inafanya kazi poa usiingie registry edit kama hujui unachokifanya itakuwa kuna kitu kingine umekifuta na kama utakuwa haujui ulichokifuta kwenye registry na pc yako ikawa bado ina matatizo utatakiwa kuinstall window upya ili kupdate registry upya sababu umechokonoa file ambalo linatunza taarifa za mfumo endeshi wa kompyuta yako kama taarifa za programs, ulinzi wa komyuta yako na taarifa nyingine
Jaribu uninstall hyo idm ili ifute taarifa zake kwenye registry kama ikiwa bado inasumbua basi utakuwa ume-edit vibaya registry file ya program nyingine
Kama ikisumbua install window nyingine
labda kama amefuta akiwa anafanya mambo mengine, maana alleta mrejesho kua inapiga mzigo fresh hapa chini cheki
nimejaribu na inachapa kazi vizuri

nashukuru sana mkuu
 
shida imeanza mara baada ya kumaliza hio zoezi ama limeanza leo?

maana hapa chini ulisema kila kitu kiko poa
Mwanzo baada ya kufanikiwa kuiingiza nili-restart browser na nilipojaribu ikakubali. Sema baada ya kuifanyia majaribio ya kudownload, ikawa inasema imebe-registered with fake serial na ikataka niingize zile datails...

Niliporudi kwenye uzi kuja kuona nimemis step gani nikagundua kuwa siku-restart mashine...ndio nika-restart

Hapo ndipo mzigo ulipoanza wenge, yaani nilihangaika na pc zaid ya masaa matatu lakini wapi...mwisho wa siku ikawaka kwa mbinde huku ikionekana kuwa nzito sana, nikaibembeleza sana akili ikaniambia niifanyie restore..

Baada ya kuifanyia hivyo inshallah mambo yakawa Safi..

Nilikosea wapi?

Hapo kwenye kurestart, mtu asipo restart kunakuwa hakuna mabadiliko, IDM itakwambia kuwa serial number ni fake.

Pia katika kuedit registry inatakiwa kuwa makini sana kwa maana, ukikosea ama kufuta kitu usichokijua ktk registry editor unaweza kusababisha tatizo(A SERIOUS PROBLEM) katika pc yako,
 
Gregoire's
Mkuu hili jukwaa ni kupeana ujuzi pamoja na kusaidiana kutatua matatizo mbalimbali. Sijaona sababu ya wewe kutumia lugha kali hivyo kumshambulia jamaa. Wewe ulikuwa unajua kitu lakini ukakaa kimya, mwenzako kafungua uzi kutupa kile alichonacho unamjibu hivyo. Kama wewe ni mtu mstaarabu utagundua kwamba hukumtendea haki.
Mkuu kuna watu wanakera sana. Mm kawaida yangu Ukiniquote nijibu vizuri tu tena ikibidi unifundishe sbb kuna vitu vingine sijui. Ila unapokuja suala la kunikashifu hapo siwezi kukuacha, nitakula sahani mmoja na ww.
Uliona mtoa uzi nimemkashifu au ww?
Sijamkashifu mtoa uzi, huyo anayejiita mr. Kipago ndiyo kayaleta haya.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Mkuu usione nachangia ukafikiri sijui chochote pole sana.
Version zote za IDM zote nimetumia na sasa hivi nipo kweny latest version
Hiyo njia unayotumia ni ya kizamani sana.
Teh teh teh teh
pole sana
Unajishtukia sana anyway wasiwasi ndiyo akili
Haujui chochote zaidi ya kulog in Jf na kutumia lugha za matusi
I guess uko 23's
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom