Kufa kufaana.
Mkuu mimi natuamia royal ya elf 10 kwa mwezi.
GB 12, Dk 1000 mitandao yote Na SMS 500, vyote kwa mwezi kwa hio buku 10.
View attachment 1469768
ILA CHA KUSHANGAZA SASA
Week ya pili hii gb 12 tangu ziishe lakini natumia internet nitakavyo, Nachezea youtube, insta na kudownload movie mpaka nachoka vyote hivyo kwa MB 0 ikiwemo hiki nilicho andika na ku upload hapa.[emoji116]
View attachment 1469796
Pili Wananiambia napata Dk 1000 kwa mwezi matokeo yake wamenipa dk Zaidi ya elf 80(80,000)kwa mwezi mitandao yote,
Screeshoot ya kifurushi cha week tatu zilizopita ambacho bado natumia mpaka leo mda huo nikiwa na Dk zaidi ya elf 84[emoji116]
View attachment 1469799
Washawahi nipa dk laki moja pia.
Internet nayo ipo fasta kupita kawaida.
Sijui wamenichunuku nini hawa, au ndio nyie mkinyongwa sisi tunainuliwa.
Siku wakinigeuzia kibao nitaisoma namba..
Ila Hapa najua nimeharibu, kuna wachawi humu wapo tayari wakanishtaki.