technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,634
- 58,272
Wenye akili huko utopolo ni wawili tuKamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3 lakini limeamliwa kwenye round ya nne.
Kwani walikuwa wanahara kushindwa kukaa round ya 3 na kuchukua maamuzi.
Jana ligi imesimamishwa mechi ya round 5 na kusogezwa mwezi 11 kutoka mwezi huu kwani walikuwa wanahara kushindwa kujua ratiba za fifa.
Kwanini game 3 zilizopita za Yanga na Simba zimechezwa ndani ya siku 7 iliwezekana vipi?
Mechi ya Yanga na Ihefu imesogezwa mbele Ili Morrison akose gemu ya Simba October.
Kiukweli leo ndio nimeelewa TFF ni tawi la simba ila niwape tu angalizo Yanga itabeba ubingwa wa Tanzania mpaka 2032.
Nendeni CAS tumechoka na mayowe yenu kila leo kama mbwakoko. Mnatia aibu sanaKamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3 lakini limeamliwa kwenye round ya nne.
Kwani walikuwa wanahara kushindwa kukaa round ya 3 na kuchukua maamuzi.
Jana ligi imesimamishwa mechi ya round 5 na kusogezwa mwezi 11 kutoka mwezi huu kwani walikuwa wanahara kushindwa kujua ratiba za fifa.
Kwanini game 3 zilizopita za Yanga na Simba zimechezwa ndani ya siku 7 iliwezekana vipi?
Mechi ya Yanga na Ihefu imesogezwa mbele Ili Morrison akose gemu ya Simba October.
Kiukweli leo ndio nimeelewa TFF ni tawi la simba ila niwape tu angalizo Yanga itabeba ubingwa wa Tanzania mpaka 2032.
Tumeshawazoea na hizi sababu zenu zisizo na mashiko. Dickson Job, Juma Shaban, na sasa Bernard Morrison wakifanya makosa ya utovu wa kinidhamu; wanafungiwa! Ila makosa ya aina hiyo hiyo wakicheza wachezaji wa simba na Coastal Union, mnakuja na sababu za aina hii.Kwenye suala la inonga, kamati haiwezi kutolea maamuzi jambo ambalo refa katoa adhabu, kamati inahusika na jambo ambalo limetokea na adhabu haikutolewa ndani ya uwanja.
Unatumia kanuni gani?Kwenye suala la inonga, kamati haiwezi kutolea maamuzi jambo ambalo refa katoa adhabu, kamati inahusika na jambo ambalo limetokea na adhabu haikutolewa ndani ya uwanja.
Pambana na hali yako!Kamati ya masaa 72 imekaa leo baada ya Masaa zaidi ya 300 kushughulikia swala la Morrison.
Kamati ilishindwa kukaa kwenye swala la Inonga pamoja na yule jamaa wa coast aliyetaka kumvunja mguu Bangala.
Lakini kwa sababu ni Morrison kamati imekaa wakati tukio lake lilikuwa kwenye round ya 3 lakini limeamliwa kwenye round ya nne.
Kwani walikuwa wanahara kushindwa kukaa round ya 3 na kuchukua maamuzi.
Jana ligi imesimamishwa mechi ya round 5 na kusogezwa mwezi 11 kutoka mwezi huu kwani walikuwa wanahara kushindwa kujua ratiba za fifa.
Kwanini game 3 zilizopita za Yanga na Simba zimechezwa ndani ya siku 7 iliwezekana vipi?
Mechi ya Yanga na Ihefu imesogezwa mbele Ili Morrison akose gemu ya Simba October.
Kiukweli leo ndio nimeelewa TFF ni tawi la simba ila niwape tu angalizo Yanga itabeba ubingwa wa Tanzania mpaka 2032.
Alivyokuwa malinzi anafanya umafia kwa simba mlikaa kimya sasa hivi zamu yenu wahenga wanasema kutesa kwa zamu.Tumeshawazoea na hizi sababu zenu zisizo na mashiko. Dickson Job, Juma Shaban, na sasa Bernard Morrison wakifanya makosa ya utovu wa kinidhamu; wanafungiwa! Ila makosa ya aina hiyo hiyo wakicheza wachezaji wa simba na Coastal Union, mnakuja na sababu za aina hii.
Uzuri ni suala tu la muda. Huyo Msomali wenu hatakiwa rais wa maisha pale TFF. Muda wake ukifika, ataondoka kwa aibu! Na Shirikisho litarudi mikononi mwa wenye mpira wao.
Huyo mume wenu msomali labda awafungie wachezaji wote la si vyo kupakatwa kuko pale pale 23Utopolo aibu sana ndiomana mshaitwa mbebwedo nyakati zilizopita
Timu zote za msomali tumezizalisha na bado zitaendelea kutuzaliaKazi mnayo Uto huku Karia kule caf kuna Babra.
Waambie hao matahira kutwa kulia lia kama vifaranga vya kuku pumbavu mpira sheria hawazijui wanatujazia nyuzi za kiwaki tu humu.Kwenye suala la inonga, kamati haiwezi kutolea maamuzi jambo ambalo refa katoa adhabu, kamati inahusika na jambo ambalo limetokea na adhabu haikutolewa ndani ya uwanja.
awamu ya Karia ndio imepeleka timu nyingi za Tanzania katika fainali za Afrika na Dunia, na hata CAF wanajua hiloTusitegemee kupata maendeleo ya mpira chini ya tff ya Msomali