Leo nimepewa risiti restaurant

wengine risiti migahawani tumeanza kupewa tangia enzi hizo tena hapahapa tanzania kabla magu hajawa hata waziri wa ujenzi
Kabisa mkuu. Kwa mfano hapa moshi kuna restaurant kibao tu tangu mashine zilipoanza kuletwa nchini wao walikuwa wa kwanza kutoa efd receipts hata ukinunua andazi moja. Eg. Chrisburger restaurant.
 
Labda mwonekano wako ulichangia wakajua afisa TRA anawapeleleza.!
 
Hayo yote ni matokeo ya uongozi bora. Kodi ni maendeleo ya nchi yako. Atahakikisha zinatumika ipasavyo. Siku za nyuma tulikata tamaa ya kulipa kodi kwani mafisadi walifaidika na kodi. Tukiendele hivi Tz ya viwanda inawezekana. JPM piga kazi usiangalie makunyanzi. Mungu ibariku TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kariakoo usijiroge ukatoka na mzigo dukani bila Receipt.... ukitoka tu TRA wana wewe
 
Magufuli Aliposema Mabadiliko na Tanzania mpya
nikweli alimaanisha
sio Kuzungusha Mikono!
Au kutoa Mzalendo na kuchukua mwizi!

Mwenyezi mungu akupe Maisha Marefu Rais wetu.
sio mahala pake! lini ugali ukaungwa na nyanya?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…