ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
This is the only way to go,Malawi ni nchi ndogo na masikini but hata ukinunua soda kwenye bar unapewa MRA receipt.Tanzania tunatakiwa kuwa hivi,though juhudi za kujenga ni ndogo sana kuliko juhudi za kubomoa,kauli ya rais Jana Kakonko nadhani imelenga kuwahamasisha watu kutolipa kodi kwa maana ya kutodai risiti wala kutoa risti.Habarini za asubuhi
Leo nimetoka zangu nyumbani niende K/koo....kufika k/koo nikakuta Maduka hayajafunguliwa nikaambiwa ni usafi kufungua hadi sa 4 asubuhi ndipo nikaamua kwenda kunywa supu sehemu! Nikaenda kwenye Ka Restaurant fulani ni kadogo tuu sio kubwa kivile au special sana hamna nikaagiza Supu ya Ng'ombe sh 2000 na chapati za 1500 jumla 3500
Naanza kunywa nikakuta muhudumu ananiletea RISITI yangu ikionesha gharama ya 3500 imekatwa kutoka kwenye mashine sijui ndio za EFD! Before sijawahi pewa risiti hapaa
Pia kuna siku nilinunua shati ya elfu 15 k/koo muuzaji akawa ananilazimisha nichukue risiti
Ama kweli mambo yamebadirika
Shikamoo Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli za rais na ccm yake zinachochea mambo haya kwa kiwango kikubwa,wanatuaminisha maendeleo yanaletwa na ccm na si sisi wananchi kupitia kodi zetuUkiona hivyo jua mbongo keshabuni njia ya kukwepa,
utakuta asilimia 3 tu ya wateja wake ndo anawapa risiti,
wengine anaowafahamu vizuri hawapi,
inabidi TRA waweke roadblock maeneo ya biashara kukagua wenye na wasio na risit,
wengine biashara zao zimekuwa mobile,yaani mzigo unaletewa hadi ulipo na hakuna cha risiti
Nadhani mabadiriko ya kweli waliyoyataka watanzania yako kwenye rasmu ya pili ya katiba mpya,hii ya kutegemea utashi wa mtu mmoja ni mabadiriko kwa watu wanaofikiria Chakula kama wewe otherwise, I don't see anything newMagufuli Aliposema Mabadiliko na Tanzania mpya
nikweli alimaanisha
sio Kuzungusha Mikono!
Au kutoa Mzalendo na kuchukua mwizi!
Mwenyezi mungu akupe Maisha Marefu Rais wetu.
Wacha tu tuwachangie
Waendelee kutembelea
Ma prado,v8,bmw,Mercedes,
Mwananchi wa kawaida
Ataendelea kutembea km 30
Kwa mguu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Huyo rais,n wa kwako wwBarabara zilikuwa zinatengenezwa kwa mikopo NA misaada, hali kadhalika miundobinu ya shule, Hospitali, Maji nk, leo serekali sehemu nyingi tunamsikia Raisi akisema barabara kama Kigoma NA miundombinu ingine akisema itajengwa NA pesa tunazo.
Hizo pesa ni hizo kodi NA pesa zisizofujwa , safari za kijinga za njee na Mirija ya rushwa iliyokatwa. JEE hiyo uyaoni?
Lugha gani hiyo!Nadhani mabadiriko ya kweli waliyoyataka watanzania yako kwenye rasmu ya pili ya katiba mpya,hii ya kutegemea utashi wa mtu mmoja ni mabadiriko kwa watu wanaofikiria Chakula kama wewe otherwise, I don't see anything new
Yeah, hasa ukiwa mwanaume!MKUU HYO RISITI WALIKUPA KWA SABABU WALIONA SURA NGENI SANA