Ndiyo maana kuna glass ya juice pembeni....itasaidia hiyo...Hahaaha, ila pilipili nimeweka nyingi....
Usijali mamy...Uje utuhadisie...
Kwa hapa dar magomeni mikumi, kariakoo masjid manyema na pale shule ya uhuru kuna sehem wanauza
Dah na jibakuli lote la pilipili lile....
magomeni mikumi ama???Pale magomeni ni wapemba
yah nimekula urojo hapo aisee mtam balaaa!!Yes mimi49 ni mi10
Dah na jibakuli lote la pilipili lile....
yah nimekula urojo hapo aisee mtam balaaa!!
Tena pale kuna juice ya tende nikienda lazma nipate 1glass
Hahahah naongeza damu kidogo
Ni chakula gani hicho...?